Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

IMG-20200914-WA0351.jpg
 
Siamini kama umeandika ukiwa na akili zako timamu mkuu kuna mambo machache aidha umepiga Kitwanga zako za kutosha ama upo hospitali malaria ipo juu sana. Ni hayo mkuu

Siamini kama umeandika ukiwa na akili zako timamu mkuu kuna mambo machache aidha umepiga Kitwanga zako za kutosha ama upo hospitali malaria ipo juu sana. Ni hayo mkuu
Hivi ni kitu gani usichokielewa katika bandiko la The Horse mpaka uanze kudadisi akili yake? Taja hoja moja moja za The Horse halafu tueleze kwa nini hoja hiyo siyo sahihi. Mtu mpaka kakutajia takwimu. Kwa kuwa hupendi mafanikio ya Serikali ya awamu hii ndiyo unaishia kusema mwandishi hakuwa na akili timamu! Hivi kweli hufahamu kwamba kabla ya 2015 watumishi wa umma, hasa waalimu, walikuwa wanakaa miezi bila kulipwa mshahara. Magufuli alipoingia madarakani akaanza kulipa malimbikizo hayo ya mshahara na kwa sasa yote yamekwisha lipwa. Mishahara ya watumishi wa serikali hulipwa kuanzia tarehe 20-na. Najua hilo kwa kuwa nilikuwa mtumishi wa serikali kwa miaka 11. Ilikuwa ukilipwa kwenye tarehe 10 ya mwezi unaofuata unashukuru sana kwamba mshahara umewahi. Katika serikali ya sasa mishahara yote inalipwa tarehe iliyopangwa. Hakuna cha kuchelewesha hata siku moja. Bado unadadisi akili ya The Horse hata baada ya kupewa takwimu zote hizo. Tuwe wakweli. Panapokuwa na mazuri yaliyofanyika, tupongeze. Panapokuwa na dosari, tukosoe kwa kutoa takwimu sahihi. Zaidi ya hayo, tunapokosoa, tutaje tu ule ukweli bila matusi ya kuuliza kama mtoa mada alikuwa na akili zake timamu wakati anaandika mada yake.
 
Hivi ni kitu gani usichokielewa katika bandiko la The Horse mpaka uanze kudadisi akili yake? Taja hoja moja moja za The Horse halafu tueleze kwa nini hoja hiyo siyo sahihi. Mtu mpaka kakutajia takwimu. Kwa kuwa hupendi mafanikio ya Serikali ya awamu hii ndiyo unaishia kusema mwandishi hakuwa na akili timamu! Hivi kweli hufahamu kwamba kabla ya 2015 watumishi wa umma, hasa waalimu, walikuwa wanakaa miezi bila kulipwa mshahara. Magufuli alipoingia madarakani akaanza kulipa malimbikizo hayo ya mshahara na kwa sasa yote yamekwisha lipwa. Mishahara ya watumishi wa serikali hulipwa kuanzia tarehe 20-na. Najua hilo kwa kuwa nilikuwa mtumishi wa serikali kwa miaka 11. Ilikuwa ukilpwa kwenye tarehe 10 ya mwezi unaofuata unashukuru sana kwamba mshahara umewahi. Katika serrikali ya sasa mishahara yote inalipwa tarehe iliyopangwa. Hakuna cha kuchelewesha hata siku moja. Bado unadadisi akili ya The Horse hata baada ya kupewa takwimu zote hizo. Tuwe wakweli. Panapokuwa na mazuri yaliyofanyika, tupongeze. Panapokuwa na dosari, tukosoe kwa kutoa takwimu sahihi. Zaidi ya hayo, tunapokosoa, tutaje tu ule ukweli bila matusi ya kuuliza kama mtoa mada alikuwa na akili zake timamu wakati anaandika mada yake.
Acha kushabikia sababu ya ukabila hilo jina lako linatosha kabisa kueleza kilichopo kichwani mwako
 
Bora umesaidia kumuelimisha uyo jamaaaa maana hajielewi
 
Shida zipi ndugu mi nacho kijua data ndio solution ya kila kitu kama haukubali leta data zako
Ni kweli watumishi walikuwa wanacheleweshewa mishahara yao? walikuwa hawapandishwi madaraja? alikuwa haajiri JK? barabara ni za nani? hospitali za mikoa nani mwanzilishi? daraja la Kigamboni, mwendokasi, vyuo vikuu vya umma kuongezeka hayo yote huyaoni? binafsi sitaki kujadili ujinga maana naelewa vyote
 
Back
Top Bottom