Hoja ya lema kuwakiliswa kwamaandishi, ccm washtuka waziri mkuu kuvuliwa nguo hadhara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya lema kuwakiliswa kwamaandishi, ccm washtuka waziri mkuu kuvuliwa nguo hadhara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyamagaro, Feb 14, 2011.

 1. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wakuu wa JF,
  Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama ilivyopangwa. Wadau wa karibu na hilo lichama konge barani africa ambalo siku si nyingi tutashuhudia anguko lake wanaseama ccm wamesense kuendelea kuharibika kwa public image yake ndo maana wameona walikwepeshe hilo kombora (Long range missile) kwa style hiyo.
  :msela:
  Source; Mdau aliyeko bungeni
   
Loading...