Hoja ya kurudisha Bungeni sakata la Richmond iende sambamba na kuondoa kinga ya Rais

Kuhusu sakata hili yalisemwa mengi na wengi walituhumiwa na ili kutenda haki kama tutaamua kurudisha sakata hili upya Bungeni,basi mimi nashauri hata kile kinachoitwa kinga ya Raisi iondolewe ili kama kuna ulazima wa kuchukua hatua zaidi basi kila atakaetajwa au kutuhumiwa kwa namna au nyinyine basi nae awajibike.

Ikiwezekana hata Tume ya kijaji iundwe kuchunguza upya sakata hili na ripoti yake iwasilishwe serikalini na Bungeni.

Tuliambiwa ile ilikuwa ni ajali ya kisiasa lakini Mwakyembe anaonekana kuwa na mtazamo tofauto hivyo ni bora tu sakata hili lichunguzwe upya ili lifike mwisho.
Na mimi naongezea, iende sambamba na kufuta RUZUKU KWA VYAMA VYA SIASA - PESA HIZO ZIONGEZWE KWENYE MIKOPO YA WANAFUNZI
 
Suala la Kinga ya Rais siyo suala la tuhuma au mashtaka ni suala la Katiba. Katiba inaweza kubadilishwa na ikaondolewa lakini kuna sababu kwanini kuna kinga ya Rais; huwezi kuiondoa yote kwani hutakuwa na kiongozi wa kitaifa yeyote. Na Rais hana kinga ya kivile hasa kama kuna wabunge wengi wa upinzani. La maana ni kutaka upinzani ujiimarishe usijivuruge kama ulivyojivuruga 2015. Watu wamekula ng'ombe mzima inafikia mkiani wanaenda kutafuta mataputapu!

Ajali zipo za aina nyingi; nyingine ni ajali za kizembe na nyingine ni za kujitakia. Ukikubali kuwa ni ajali ya kisiasa basi ujue ile ilikuwa ni ya kujitakia.
Hivi kwa akili yako waziri mkuu anaweza kufanya yote yanayotajwa katika ripoti ya Mwakyembe yeye kama yeye tu?

Akiuke maamuzi ya baraza la mawaziri boss wake asijue?

Maamuzi ya Baraza la Mawaziri yakiukwe mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri asijue?

Mawaziri waliotajwa katika ile ripoti wakiuke taratibu za kazi boss wao asijue?!

Makatibu wakuu wakiuke taratibu za kazi ili kuibeba Richmond boss wao asijue?!

Goverment Negotiating Team(GTM) ya mradi wa Richmond ikiuke taratibu boss wao asijue?

Tahadhari iliyotolewa na Gavana iishie kwa Waziri Mkuu tu na mawaziri alafu anaemteua huyo Gavana asipewe taarifa?

Ushauri wa TANESCO kupinga mradi wa Richmond taarifa yake iishie kwa waziri,katibu mkuu na waziri mkuu tu?

Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO nae asifikishe ushauri wa Management ya TANESCO kwa boss wake?

Yaani unaridhika kabisa mh.alikuwa hapewi taarifa na watu wote hawa?

Anaetajwa kutaka kuvunja huu mkataba wa Richmond alikuwa ni nani kama sio EL?

Kama taarifa hizi ni kweli,unadhani nani alimzuia kuuvunja?

Hujiuliza ni kwanini hawakuhoji EL?

Angeohijiwa EL unadhani angejitetea bila kumuhusisha boss wake?

Unadhani angejitetea kwa kuwataja wa chini yake tu?

Tumieni akili!
 
Kuhusu sakata hili yalisemwa mengi na wengi walituhumiwa na ili kutenda haki kama tutaamua kurudisha sakata hili upya Bungeni,basi mimi nashauri hata kile kinachoitwa kinga ya Raisi iondolewe ili kama kuna ulazima wa kuchukua hatua zaidi basi kila atakaetajwa au kutuhumiwa kwa namna au nyinyine basi nae awajibike.

Ikiwezekana hata Tume ya kijaji iundwe kuchunguza upya sakata hili na ripoti yake iwasilishwe serikalini na Bungeni.

Tuliambiwa ile ilikuwa ni ajali ya kisiasa lakini Mwakyembe anaonekana kuwa na mtazamo tofauto hivyo ni bora tu sakata hili lichunguzwe upya ili lifike mwisho.
Tuendelee na vipaumbele vingine vyenye tija kwa Taifa, kwani kumebadirika nini hata ufikiri ikiundwa tume nyingine ya uchunguzi itakuja na matokeo mengine ya ziada yatakayoleta ufanisi? serikali, Bunge bado ni CCM Katiba kanuni bado ni zile zile sana sana ni kujenga mwanya wa ufujaji wa kodi zetu tu.
 
Dah, hoja makini sana lakini inahitaji mabailiko makubwa ya katiba na sheria husika. Sijui kama hilo linawezekana kwa bunge hili la waliowengi kujua kusifia tu!

Anyway, hawawezi kurejesha suala hilo bungeni maana hawana ujasiri wa kuondoa kinga ya raisi. Nakuhakikishia kuwa 'Mwa Kiembe' anabipu ukawa lakini ni rahisi sana kwa ukawa kupiga na hiyo ikitokea itaigharimu CCM sana. "Serikali itatikisika" maana aliyesema hatafukua makaburi atashangaa yakiwa wazi. Yakiwa wazi ya richmond ya escrow, epa, meremeta na kadhalika pia yatskuwa wazi. Ahadi ya kuwalinda watsngulizi wake itakuwa null and void au kwa lugha nyingine 'vanquished'!Wathubutu waone kitakachotokea!

My brother believe or not UKAWA hapa hawana nguvu yoyote bila support ya wabunge wa CCM, na endapo wabunge wa CCM wataungana na Ukawa ktk sakata hili ili kuibana serikali ktk suala hili, hapo ndipo utakaposhuhudia kuibuka kwa NEC,CC na forums zote za kichama kuwabana wabunge wa CCM ili kutafuta correctiveness ili Serikali ya CCM isiaibike.
 
Kuhusu sakata hili yalisemwa mengi na wengi walituhumiwa na ili kutenda haki kama tutaamua kurudisha sakata hili upya Bungeni,basi mimi nashauri hata kile kinachoitwa kinga ya Raisi iondolewe ili kama kuna ulazima wa kuchukua hatua zaidi basi kila atakaetajwa au kutuhumiwa kwa namna au nyinyine basi nae awajibike.

Ikiwezekana hata Tume ya kijaji iundwe kuchunguza upya sakata hili na ripoti yake iwasilishwe serikalini na Bungeni.

Tuliambiwa ile ilikuwa ni ajali ya kisiasa lakini Mwakyembe anaonekana kuwa na mtazamo tofauto hivyo ni bora tu sakata hili lichunguzwe upya ili lifike mwisho.

Hiyo tu ndiyo unaweza kutatuwa kesi ya Richmond. You can not convict Lowassa without Kikwete huo ndiyo ukweli wenyewe.
 
Kuhusu sakata hili yalisemwa mengi na wengi walituhumiwa na ili kutenda haki kama tutaamua kurudisha sakata hili upya Bungeni,basi mimi nashauri hata kile kinachoitwa kinga ya Raisi iondolewe ili kama kuna ulazima wa kuchukua hatua zaidi basi kila atakaetajwa au kutuhumiwa kwa namna au nyinyine basi nae awajibike.

Ikiwezekana hata Tume ya kijaji iundwe kuchunguza upya sakata hili na ripoti yake iwasilishwe serikalini na Bungeni.

Tuliambiwa ile ilikuwa ni ajali ya kisiasa lakini Mwakyembe anaonekana kuwa na mtazamo tofauto hivyo ni bora tu sakata hili lichunguzwe upya ili lifike mwisho.
Sawa. Peleka hivyo. Lakini tuanze na Richmond tumalizane na Lowassa afungwe; halafu twende na ngonjera ya kufuta sheria ya Rais.
 
Kuhusu sakata hili yalisemwa mengi na wengi walituhumiwa na ili kutenda haki kama tutaamua kurudisha sakata hili upya Bungeni,basi mimi nashauri hata kile kinachoitwa kinga ya Raisi iondolewe ili kama kuna ulazima wa kuchukua hatua zaidi basi kila atakaetajwa au kutuhumiwa kwa namna au nyinyine basi nae awajibike.

Ikiwezekana hata Tume ya kijaji iundwe kuchunguza upya sakata hili na ripoti yake iwasilishwe serikalini na Bungeni.

Tuliambiwa ile ilikuwa ni ajali ya kisiasa lakini Mwakyembe anaonekana kuwa na mtazamo tofauto hivyo ni bora tu sakata hili lichunguzwe upya ili lifike mwisho.
Kwani Mhs Mwakyembe anashindwa nini kupereka hoja hiyo bungeni ??
Au anafanya usanii??
Kuna Lugumi, bado watu wanapiga hela.
Unafanywa usanii pasee.
Haya Bwn.
 
Sijui ni akili gani zilitumika kumuingiza fisadi lowasa chadema....yaani gafla bin vuu mtu kutoka kuwa fisadi nyangumi hadi kuwa mgombea wenu wa urais, aisee!!!!!
 
Kwa jina unalotumia ni kama wewe ni Kristo. Na kama ni kweli unamjua mtu aliyekuwa akiitwa Sauli mtesaji mkuu wa watumishi wa Mungu. Lakini alipokutana na Yesu akabadilishwa na kuwa mtumishi mzuri wa Mungu. Yeyote ambaye anang'ang'ania kubaki huko hawezi akaokolewa atabaki kuwa mtekaji na mtesaji wa watu tu na hata wengine 'kuwatanguliza mbele za haki'
 
Back
Top Bottom