VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Hakuna haja ya kuzunguka kila siku. Waathirika wa madawa ya kulevya, hasa wasanii, wanajulikana. Wengine wamekiri kabisa kutumia madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya hapa Tanzania yanakatazwa kisheria.
Kuuza, kusambaza, kuingiza au kutumia madawa ya kulevya ni kosa kisheria. Kwakuwa watumiaji wanaonekana na kujipambanua, wakamatwe haraka na kuhojiwa. Hao watataja wanapoyapata. Hao watataja wanaowauzia.
Jeshi la Polisi, anzieni hapo. Mkamateni Ray C,Nando, Chid Benz, Ferooz, Daz Baba na wengineo waliojipambanua kutumia 'ngada'. Hapa si Marekani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam