hoja ya katiba mpya ibebe utaifa kuliko siasa

Oct 21, 2010
23
0
Dalili nimeanza kuziona kuwa yapo makundi mblimbali ya watu wanaopigania katiba mpya lakini hofu yangu ni kuwa mjadala huu umeanza kupoteza maana kwani CHADEMA wamekuwa wakiufanya kama mtaji wa kuiadhibu CCM badala ya manufaa ya taifa zima hapa kuna hatari kubwa kwani huku si kujenga tena ila ni kukomoana
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,633
1,195
Kukomona kati ya nani na nani to be precise? Ukweli unaujua lakini unapindisha dhamira yako!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom