Hoja ya Katiba mpya ianzie Bungeni. Wapinzani undeni Tume yenu ya kukusanya maoni.

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,047
2,000
..hili suala lisipochukuliwa kwa umakini litakuwa litaishia kupigwa danadana na serikali ya CCM.

..vyama vya upinzani kwa pamoja viunde Tume yao itakayokusanya maoni ya Katiba mpya.

..wapinzani waingarimie Tume hiyo na ipewe muda mfupi maalum wa kukamilisha kazi yake.
 

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
0
Maoni haya hayana mantiki yeyote; kwani hatua ya kwanza inayotakiwa kuchukuliwa ni kuibana serikali ili iweze kukubali kwa dhati kuanzisha mchakato wa kutunga katiba mpya. Baada ya hapo, serikali inapashwa kuonyesha utayari wake wa kukubali mabadiriko ya katiba kwa kuongoza mashauriano na vyama vya siasa na vya kijamii ili kubuni njia muafaka inayoungwa mkono na makundi yote hayo, itakayofanikisha upatikanaji wa katiba hiyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom