Kuna upeo gani sasa hapo? Siye tuna kazi ya kukosoa tu kwa nini tusije na ya kwetu? Wengine wafikiri wewe unasubiri uwakosoe huyo Polepole kasomea wapi hiyo elimu ya kipekee wanayo yeye na Gwajima tuu!! Mnasema Marekani sijui wanachoma chanjo ya tatu unafikiri kazi kisayansi ni maneno tu! Wenzenu wanastruggle kupata ufanisi nyie mnabeza!! Kumbuka dawa ya maleria aina ya fansidar unakumbuka wangapi walipata madhara? Wapo wengine walibabuka ngozi mpaka leo na maleria ipo duniani kwa miaka mingapi???Ndivyo akili inavyotakiwa kufikiria. Ni upeo wa kina. Nasubiri jibu.