Hoja tata: Chadema na Cuf ni matawi ya CCM,itatuchua miongo mingi kupata vyama mbadala

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Tokea kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2015 sasa mambo mengi yamekuwa dhahiri kuwa Chadema na Cuf ni matawi ya CCM pasi na shaka.

Kinachofanywa na akina Mbowe na Seif ni hadaa kwenye media na mbele ya wafuasi wasiokuwa na taarifa sahihi lakini kimsingi kabisa wanatekeleza sera za CCM.

Makamanda Lowassa na Sumaye ndiyo haswa wamekoleza chumvi ya 'uCCM' ndani ya vyama hivyo. Ni baadhi tu ya watu ndio wanaweza kutambua hili. CCM sasa inafanya siasa katika utulivu wa aina yake ukilinganisha miaka 10 iliyopita.

Siasa ni sayansi, angalia mambo yalivyo sasa. Ni dhahiri kuna dongo kubwa la barafu lililowekwa katikati ya maji moto...na sasa yamepoa.

Wengi watakejeli,hawataona na hawatatambua.
 
mababu zetu walikataa mfumo wa vyama vingi hapo ndipo Mzee nyerere akawapa kazi vijana wa kitengo kuanzisha vyama vya siasa kwa malengo maalum sio hivyo tu hebu tafakari kauli ya baba wa taifa "upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM"
 
Uzuri kwa wazoefu na watu wa siku nyingine wanazijua fika ids za propaganda za Lumumba.

Watu wao waliowaweka kuvuruga vyama wanajulikana na wanawasaidia,sasa wanajaribu kujumlisha wote.

Cheyo,Mrema,Professor Li...,Zitto,Hamad Rashid,Kitila Mkumbo,Anna Mwigira na vijana wako huna haja ya kuhoji!!!
 
Lowassa,Sumaye,Mbowe,.....endelea
 
Laiti wafuasi wa Chadema wangemjua vizuri Tundu Lssu, wangeacha kufatilia na kushabikia siasa. Vyama vya siasa vimejaa mawakala wa serikali, ili waaminike na wafike mbali ni lazima wafanye yale yanayotakwa kusikiwa na wafuasi wao. Hivi hamjagundua mkakati wa kumfanya Tundu awe Mwenyekiti?
 
Hakika mkuu.
 
Tokea kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2015 sasa mambo mengi yamekuwa dhahiri kuwa Chadema na Cuf ni matawi ya CCM pasi na shaka.

Kinachofanywa na akina Mbowe na Seif ni hadaa kwenye media na mbele ya wafuasi wasiokuwa na taarifa sahihi lakini kimsingi kabisa wanatekeleza sera za CCM.

Makamanda Lowassa na Sumaye ndiyo haswa wamekoleza chumvi ya 'uCCM' ndani ya vyama hivyo. Ni baadhi tu ya watu ndio wanaweza kutambua hili. CCM sasa inafanya siasa katika utulivu wa aina yake ukilinganisha miaka 10 iliyopita.

Siasa ni sayansi, angalia mambo yalivyo sasa. Ni dhahiri kuna dongo kubwa la barafu lililowekwa katikati ya maji moto...na sasa yamepoa.

Wengi watakejeli,hawataona na hawatatambua.
mzee gongo linakudhuru bora uywe viroba. haijawahi kutokea katika historia ya ccm kupata wakati mgumu kama hivi sasa ndio ukaona hiyo kamata kamata kila kitu marufuku kutaka kukiuwa chama cha cuf
 
Wewe unakunywa viroba? huwezi kuona kwa macho ya viroba.
 
Tokea kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2015 sasa mambo mengi yamekuwa dhahiri kuwa Chadema na Cuf ni matawi ya CCM pasi na shaka.

Kinachofanywa na akina Mbowe na Seif ni hadaa kwenye media na mbele ya wafuasi wasiokuwa na taarifa sahihi lakini kimsingi kabisa wanatekeleza sera za CCM.

Makamanda Lowassa na Sumaye ndiyo haswa wamekoleza chumvi ya 'uCCM' ndani ya vyama hivyo. Ni baadhi tu ya watu ndio wanaweza kutambua hili. CCM sasa inafanya siasa katika utulivu wa aina yake ukilinganisha miaka 10 iliyopita.

Siasa ni sayansi, angalia mambo yalivyo sasa. Ni dhahiri kuna dongo kubwa la barafu lililowekwa katikati ya maji moto...na sasa yamepoa.

Wengi watakejeli,hawataona na hawatatambua.
Hongera kwa kujifariji

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Tokea kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2015 sasa mambo mengi yamekuwa dhahiri kuwa Chadema na Cuf ni matawi ya CCM pasi na shaka.

Kinachofanywa na akina Mbowe na Seif ni hadaa kwenye media na mbele ya wafuasi wasiokuwa na taarifa sahihi lakini kimsingi kabisa wanatekeleza sera za CCM.

Makamanda Lowassa na Sumaye ndiyo haswa wamekoleza chumvi ya 'uCCM' ndani ya vyama hivyo. Ni baadhi tu ya watu ndio wanaweza kutambua hili. CCM sasa inafanya siasa katika utulivu wa aina yake ukilinganisha miaka 10 iliyopita.

Siasa ni sayansi, angalia mambo yalivyo sasa. Ni dhahiri kuna dongo kubwa la barafu lililowekwa katikati ya maji moto...na sasa yamepoa.

Wengi watakejeli,hawataona na hawatatambua.
Hivi Lowasa na Sumaye ukamanda wameupataje? Au kujificha katika chaka la wapiga dili ndio ukamanda. Daaah, Kweli CCM Itabaki kuwa salama kwa kuwaondoa wavuja kamasi.

Kamanda ni Rais wetu Magufuli na wanaCCM ambao wanaendelea kuendesha nchi hii katika misingi sahihi.
 
Hiyo mbona iko wazi

Wako wapi watu tuliowaamini kama akina Dr slaa,Lipumba,Zitto kabwe,lyatonga mrema nk

Tangu niijue siasa ya bongo.Hua sinaga muda kupoteza mda kuumiza kichwa kuusu siasa,

Hua nawaangalia tu watu wanavyopigizana kelele uku nacheka kwa zarau
 
Back
Top Bottom