Hoja nzito: Sumaye asema CHADEMA badala ya kupambana na CCM kwa Hoja wao wanashindana na polisi ambao hawatawaweza

Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.

Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

Unapojikita kushughulika na polisi maana yake unawaachia CCM wafanye siasa ndio maana nimerudi kwenye chama changu ili nifanye siasa amemaliza mzee Sumaye.

Maendeleo hayana vyama!
Huja nzito kwa mgombea aliyeshidwa ! mbona hajatoa hizi sababu wakati ule
 
Mapambano ya hoja hupatikana kupitia mazingira rafiki yaliyowekwa kupitia katiba, sheria, kanuni na taratibu zinazokubalika. Sijui Mh. Sumaye anashindwaje kuelewa kuhusu ukakasi uliokuwepo ktk awamu hii ya tano. Pengine tayari ameshalishwa maneno ya kuongea na Polepole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..IGP Sirro anasemaje?

..Ni kweli ASKARI anaowaongoza wanapambana na CDM?
 
MAJIZI YALIYOTOKA CCM KUJA CHADEMA YARUDI CCM .
FB_IMG_1581491063368.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mzee kachanganyikiwa baada ya kunyang'anywa mashamba yake na hao hao serikali anayoiabudu sasa!Tuliwaambia kuwa kudumu upinzani lazima muwe mmejitoa muhanga!
Hapana kamanda
Kudumu upinzani huu wa akina Mbowe na Lisu ni lazima uwe msukule.
Yaani Mbowe anapiga dili na CCM mchana kweupe, anawaletea MAFISADI ya CCM yanawakunjisha ngumi na kuwazungusha mikono nchi nzima.
Bado msaliti wa chama kama huyo anaendelea kuwa Mwenyekiti?
Halafu bado kuna watu mnaamini kuna upinzani wa kuitoa CCM Tanzania?
Kwa wapinzani serious na kwa makosa ya Mbowe na Lisu 2015. Hawa watu walipaswa kujiuzuru wenyewe kulinda heshima ya Upinzani Tanzania. Hawakustahili kugombea hata uongozi wa serikali ya mtaa.
 
Mbona mmewapokea hao mafisadi?Au wako wapi sasa?So mwenyekiti wenu naye aachie nafasi kwa kuwapokea mafisadi kwenye chama chenu,same old crap!
 
Kinachoshangaza ni kipi kati ya MAFISADI kwenda CCM na MAFISADI kuchukuliwa na CHADEMA.
Tena sio kuchukuliwa tu!
Wanagombea na URAIS na kupewa UNEC.
CHADEMA ya siku hizi inaji-equate na CCM. ndo imefikia level hiyo?
 
Walionunuliwa na Majizi ya CCM wachaguliwa tena kuiongoza CHADEMA.
Mmoja awa tena mwenyekiti na mwenzake awa makamu.
Hakuna aliyenunuliwa ila kuwa kuna majizi yalikimbilia Chadema hilo halina ubishi kwani mweye chama kasema hivyo, na pia kuwa majizi yaliyosemwa yamerudi CCM nalo halina ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi wepesi tu wananchi wakiamua..hukuwepo wakati wa machafuko ya Mwembechai
 
Hakuna aliyenunuliwa?
Kwa hiyo MAJIZI yalipewa nafasi ya kugombea URAIS CHADEMA bure?
yalitukunjisha ngumi na kutuzungusha mikono nchi nzima BURE?
Duh!
Akina Mbowe na Lisu wamefanikiwa kweli kutufanya CHADEMA wote misukule!
 
Polisi wepesi tu wananchi wakiamua..hukuwepo wakati wa machafuko ya Mwembechai
Tangu wananchi wasalitiwe 2015, hakuna mwananchi aliyetayari tena kupambana kwa siasa za kibabaishaji za akina Mbowe
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.

Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

Unapojikita kushughulika na polisi maana yake unawaachia CCM wafanye siasa ndio maana nimerudi kwenye chama changu ili nifanye siasa amemaliza mzee Sumaye.

Maendeleo hayana vyama!
Hanalo alijualo! alisema hawezi kurudi CCm hadi Chadema kiwe chama chenye nguvu kama ccm, wapi!! kashindwa kusimamia maneno yake kama haitoshi hajuwi kuhusu zuio la siasa kwa vyama vyote isipokuwa huko alikoenda? akaee atulie arudishiwe mashamba yake familia yake iwe na amani....Bila hao policcm kutofautisha kazi yao na vyama vyote vya siasa hakuna kitu
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.

Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

Unapojikita kushughulika na polisi maana yake unawaachia CCM wafanye siasa ndio maana nimerudi kwenye chama changu ili nifanye siasa amemaliza mzee Sumaye.

Maendeleo hayana vyama!
Waelewe wanasiasa uchwara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi alisharudishiwa MKIA wake?
Siyo JIZI TENA?
Siyo Oil chafu tena?
Watu weusi wanamatatizo sana
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.

Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

Unapojikita kushughulika na polisi maana yake unawaachia CCM wafanye siasa ndio maana nimerudi kwenye chama changu ili nifanye siasa amemaliza mzee Sumaye.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.

Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

Unapojikita kushughulika na polisi maana yake unawaachia CCM wafanye siasa ndio maana nimerudi kwenye chama changu ili nifanye siasa amemaliza mzee Sumaye.

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani ingekuwa busara kwake kushauri kinyume chake. Watawala wapambane na upinzani kwa hoja.....

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Tuliyatumia tu na katika hilo tuliganikiwa kataa kubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafanikio ya kukiua chama?
Nguvu ya umma imepotea.
Leo tukitishiwa na hata mgambo tu tunaufyata.
Enzi kabla chama akijachakachuliwa. Polisi walikuwa hawatoshi kudhibiti nguvu ya Umma.
Unakumbuka Mbeya ilichukua siku tatu mpaka wakaitwa JW
Hatukukubali hadi Sugu alipokuja kututuliza.
Leo mwananchi gani anaweza kujirisk kiasi hicho wakati wanajua Upinzani wenyewe unanunulika kijingajinga tu?
Na bado waliokisaliti chama ndo wamepewa tena uongozi.
 
Hujui kitu dogo, unafikiri nini kilipelekea mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa kuhujumiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom