FikraPevu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2010
- 303
- 236
“Wananchi wanataka maendeleo. Wanataka huduma bora za jamii. Wanataka maji safi na salama, wanataka elimu bora, huduma za afya, na miundo mbinu bora. Katiba mpya si kipaumbele cha Watanzania. Wananchi wanataka ‘Ukatiba’ na sio katiba. Wananchi wanataka maendeleo”.
“Serikali ya awamu ya Tano haitashughulika na katiba, itaendelea kutumia katiba iliyopo. Itajikita katika kutatua matatizo na kero za wananchi, kupambana na rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya fedha za umma, matumizi mabaya ya madaraka.” Hizi ni kauli au msimamo ambao tumekuwa tukiisikia mara nyingi kutoka kwa viongozi wetu hasa wale wa chama tawala.
Ni kweli Watanzania wanataka maendeleo pekee bila Katiba Mpya?
Zaidi, soma hapa => HOJA: Ni kweli Watanzania wanataka maendeleo lakini wanataka na Katiba Mpya | FikraPevu