Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
9,142
2,000
An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology.

Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa..

Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa msingi " basic" kuhusu saikoloji ya binadamu wewe siku moja pita mtaani wakute watu halafu wapite bila kuwasilimia halafu Muda mfupi baadae rejea Kwa watu Hao Hao halafu jifanye kama unawauliza Jambo..

Utashangaa kuona mtu mzima Na ndefu zake anakwambia " YANI WEWE UMETUPITA HAPA BILA KUTUSALIMIA HALAFU SASA HIVI UNAKUJA KUTUULIZIA"

Hee!!! Mtu anae SEMA hivi ana kichwa kidogo Sana Na ufahamu wake kuhusu saikoloji ya binadamu ni sifuri..

Hivi unashindwa kuelewa kwamba Kuna watu Wana vitu vingi kichwani kiasi kwamba husahau hata kama wanatembea barabarani seuze kukusalimia wewe?

Halafu unataka mtu akusalimie wewe ili kusudi iwe Nini?

Yani unataka mtu atembee barabarani anasalimia Kila MTU kwanini yeye amekuwa Rastafari , mwendawazimu au tapeli?

Watanzania acheni uwendawazimu.

Back to Haji Manara.

Kuna wapuuzi wachache Wana amini eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba simply Kwa Sababu wamemfahamu kama shabiki wa Simba Kwa Muda mrefu Na kwamba huko alipo Simba wakifungwa Na yeye anaumia!!

Hivi nyie watu hamjui kuhusu human phsycology ?

Ngoja Ni WA refresh mind zenu. Ni hivi binadamu akiwa anafanya Jambo lake katika Maisha level ya juu kuliko zote Ni kupata kitu kinaitwa Recognition.

Haji amepata mafanikio makubwa Sana akiwa Na Simba. Alichokuwa ana kitaka Ni " Recognition" kwamba wanasimba watambue mchango wake kwenye klabu ya Simba Na kwamba bila yeye Simba haiwezi kupata mafanikio..

Simba ikifungwa Haji anafurahi Sana Kwa Sababu Jambo Hilo Lina prove hoja yake kwamba bila yeye Simba si lolote si chochote..

Simba ikishinda Haji lazima aumie Kwa Sababu hiyo itaamanisha kwamba yeye Hakuwa lolote ndani ya Simba Na kwamba Simba wanaweza kupata mafanikio with or without him..

Mtu ukishafikia level hii ya kufurahi timu fulani inapofungwa Na kuumia pale timu hiyo inaposhinda maana yake ni kwamba MTU huyo sio shabiki Tena wa timu hiyo.
# proudly sponsored by Fiston Kalala Mayele
 
Mbususu Enthusiast

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,000
2,000
Kuna thread flani uliletaga nadhani 2014 ilinihuzunisha sana jinsi binadamu katili. Uliweka picha jinsi punda alivyokatwa miguu kisa alikataa kutembea. It send a strong chill in my heart dah ile thread maamae
 
Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
469
1,000
Ni nchi zote zenye kiwango cha chini FIFA zinazojadili wasemaje badala ya wachezaji

Ili tu kupoteza mda bila kuutumia
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
5,251
2,000
Mkuu
Mpira siyo Kama chama Cha siasa kwamba unaweza ukahama kutoka chama A na ukaenda chama B.
Mapenzi ya chama siyo ya kuzaliwa nayo lakini upenzi wa mpira unakuwanao na unauishi.

Haji atabaki kuwa mwanasimba Hadi kufa kwake,Yanga angeenda kufanya kazi Kama ilivyo kazi nyingine ili weze kujikimu kimaisha.
 
Ohoooooooooo
 
Ndio maana nikasema watanzania wengi mna uelewa mdogo Sana kuhusu human phsycology.

Hoja yako haina mantiki yoyote katika msingi wa Human Psychology..

Wewe unazungumzia mazoea ambayo hata hivyo yanaweza kupingwa Kwa hoja pia Kwa Sababu watu wanabadilisha Hadi Dini seuze timu ya mpira mkuu?
 
Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,550
2,000
Mkuu
Mpira siyo Kama chama Cha siasa kwamba unaweza ukahama kutoka chama A na ukaenda chama B.
Mapenzi ya chama siyo ya kuzaliwa nayo lakini upenzi wa mpira unakuwanao na unauishi.

Haji atabaki kuwa mwanasimba Hadi kufa kwake,Yanga angeenda kufanya kazi Kama ilivyo kazi nyingine ili weze kujikimu kimaisha.
Mpira wa sasa ni maslahi tu.........
 
Pua ya zege

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
440
500
An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology.

Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa..

Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa msingi " basic" kuhusu saikoloji ya binadamu wewe siku moja pita mtaani wakute watu halafu wapite bila kuwasilimia halafu Muda mfupi baadae rejea Kwa watu Hao Hao halafu jifanye kama unawauliza Jambo..

Utashangaa kuona mtu mzima Na ndefu zake anakwambia " YANI WEWE UMETUPITA HAPA BILA KUTUSALIMIA HALAFU SASA HIVI UNAKUJA KUTUULIZIA"

Hee!!! Mtu anae SEMA hivi ana kichwa kidogo Sana Na ufahamu wake kuhusu saikoloji ya binadamu ni sifuri..

Hivi unashindwa kuelewa kwamba Kuna watu Wana vitu vingi kichwani kiasi kwamba husahau hata kama wanatembea barabarani seuze kukusalimia wewe?

Halafu unataka mtu akusalimie wewe ili kusudi iwe Nini?

Yani unataka mtu atembee barabarani anasalimia Kila MTU kwanini yeye amekuwa Rastafari , mwendawazimu au tapeli?

Watanzania acheni uwendawazimu.

Back to Haji Manara.

Kuna wapuuzi wachache Wana amini eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba simply Kwa Sababu wamemfahamu kama shabiki wa Simba Kwa Muda mrefu Na kwamba huko alipo Simba wakifungwa Na yeye anaumia!!

Hivi nyie watu hamjui kuhusu human phsycology ?

Ngoja Ni WA refresh mind zenu. Ni hivi binadamu akiwa anafanya Jambo lake katika Maisha level ya juu kuliko zote Ni kupata kitu kinaitwa Recognition.

Haji amepata mafanikio makubwa Sana akiwa Na Simba. Alichokuwa ana kitaka Ni " Recognition" kwamba wanasimba watambue mchango wake kwenye klabu ya Simba Na kwamba bila yeye Simba haiwezi kupata mafanikio..

Simba ikifungwa Haji anafurahi Sana Kwa Sababu Jambo Hilo Lina prove hoja yake kwamba bila yeye Simba si lolote si chochote..

Simba ikishinda Haji lazima aumie Kwa Sababu hiyo itaamanisha kwamba yeye Hakuwa lolote ndani ya Simba Na kwamba Simba wanaweza kupata mafanikio with or without him..

Mtu ukishafikia level hii ya kufurahi timu fulani inapofungwa Na kuumia pale timu hiyo inaposhinda maana yake ni kwamba MTU huyo sio shabiki Tena wa timu hiyo.
# proudly sponsored by Fiston Kalala Mayele
Sahihi!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom