Magoti ya ma Polisi na li Mama lao yeshajaa maji.umeleta ujinga mtupu, mpelekeni Mbowe mahakamani akawa jibu
Aisee😀Hata wewe tangaza dau uwaone mageral wa RPF wanavyokuja inbobo kutaka ajira.
Kwa wale wa Mbowe ni wanajeshi kweli, licha ya kuwa walishaachishwa jeshi lakini walikuwa jwtz na walikuwa makomandoo, askari hata akiachishwa jeshi bado anaendelea kuwa mwanajeshi katika jeshi la akiba hivyo hawakupaswa kwenda kumlinda mbowe, kwani mwanajeshi yeyote ni mali ya serikali na kufanya chochote kinyume na serikali ni Uasi.Nijuavyo, jeshini wapo wanaopata mafunzo lakini mwishowe huwa hawaajiriwi, hawa hutoka na kwenda kutafuta kazi nje ya jeshi, wengine huwa walinzi wa makazi/ofisi za watu, wengine huwa walinzi binafsi wa watu, hufanya hivyo ili kujitafutia riziki zao.
Ukimaliza kudadisi uje utwambie ulichogunduaMbowe ni CIA operative. Anafanya kazi kwenye mwamvuli wa chadema kama geresha tu.
Ndio maana ameshupalia machanjo kumbe ana ajenda zake zenye mkono wa mabeberu.
Tunazidi pia kudadisi kuhusiana na kifo cha Rais wetu.
Mama Samia kaongoza watanzania kuchanjwa,na yeye ni CIA operative?Mbowe ni CIA operative. Anafanya kazi kwenye mwamvuli wa chadema kama geresha tu.
Ndio maana ameshupalia machanjo kumbe ana ajenda zake zenye mkono wa mabeberu.
Tunazidi pia kudadisi kuhusiana na kifo cha Rais wetu.
Hahahaha niemcheka Sana mkuu nikakumbuka once a threat always a threat
USSR
Kwa wale wa Mbowe ni wanajeshi kweli, licha ya kuwa walishaachishwa jeshi lakini walikuwa jwtz na walikuwa makomandoo, askari hata akiachishwa jeshi bado anaendelea kuwa mwanajeshi katika jeshi la akiba hivyo hawakupaswa kwenda kumlinda mbowe, kwani mwanajeshi yeyote ni mali ya serikali na kufanya chochote kinyume na serikali ni Uasi.
Una la kuniambia hapa?!
Walioshadadia chanjo RAIS, MAKAMU, PM, CDF, IGP, Diwani (TISS)... Hawa ni CIA operatives?Mbowe ni CIA operative. Anafanya kazi kwenye mwamvuli wa chadema kama geresha tu.
Ndio maana ameshupalia machanjo kumbe ana ajenda zake zenye mkono wa mabeberu.
Tunazidi pia kudadisi kuhusiana na kifo cha Rais wetu.
Usalama wa nini?SUMA JKT tunao wanalinda hata huko hospitalini kwani washindwe kumlinda Mbowe mwana wa jk.
Ila kweli mbowe aweza kuwa usalama maana haeleweki huyu ndugu.
Mara atuletee lowassa mara Lissu sie ni kupiga kura tu mwisho wanatuchora, Mungu anawaona
SUMA JKT tunao wanalinda hata huko hospitalini kwani washindwe kumlinda Mbowe mwana wa jk.
Ila kweli mbowe aweza kuwa usalama maana haeleweki huyu ndugu.
Mara atuletee lowassa mara Lissu sie ni kupiga kura tu mwisho wanatuchora, Mungu anawaona
Wanalishwa na nani Wakiwa jeshi la akiba, mwehu kweli acheni kuzungumza msivovijua mKwa wale wa Mbowe ni wanajeshi kweli, licha ya kuwa walishaachishwa jeshi lakini walikuwa jwtz na walikuwa makomandoo, askari hata akiachishwa jeshi bado anaendelea kuwa mwanajeshi katika jeshi la akiba hivyo hawakupaswa kwenda kumlinda mbowe, kwani mwanajeshi yeyote ni mali ya serikali na kufanya chochote kinyume na serikali ni Uasi.
Una la kuniambia hapa?!
Hao ni wale vijana ambao hutemwa na jkt wanaorudi mtaani..huwa wanakaa bila kazi,sasa ni afadhali uajiri mtu ambaye tayari ana mafunzo kuliko ambaye hajui hata kushika kisu.Mkuu naomba ufafanuzi Kama waliacha kisheria au walifukuzwa wanapaswa kutambuliwa Kama wanajeshi wa jeshi letu
USSR
Hapa yapo uliyoandika ninayohitaji uhakikisho zaidi toka kwako ili nikujibu swali lako, binafsi hata kuwaona hao wanaoitwa wanajeshi sikuwahi kuwaona, je, wewe uliwaonea wapi na kujiridhisha walikuwa ni makomandoo wa JWTZ?Kwa wale wa Mbowe ni wanajeshi kweli, licha ya kuwa walishaachishwa jeshi lakini walikuwa jwtz na walikuwa makomandoo, askari hata akiachishwa jeshi bado anaendelea kuwa mwanajeshi katika jeshi la akiba hivyo hawakupaswa kwenda kumlinda mbowe, kwani mwanajeshi yeyote ni mali ya serikali na kufanya chochote kinyume na serikali ni Uasi.
Una la kuniambia hapa?!
Kwani jeshi la akiba linalishwa na nani? Kuondoka kwenye utumishi na kufanya ajira zako binafsi sio sababu ya kutokuwemo kwenye jeshi la akiba,Wanalishwa na nani Wakiwa jeshi la akiba, mwehu kweli acheni kuzungumza msivovijua m
Cc. Emiir.Baada ya kujiunga na Jeshi la wananchi (JWTZ) kuna sababu nyingi zinaweza kumuondoa mtu kuachana na utumishi ndani ya Jeshi.
Ukiachana na JESHI haikondolei chapa ya neno JWTZ hadi unaingia kaburini.
Mtoto wa Mama yangu Mkubwa amehudumu JWTZ, pale Taifa (95) kwa miaka miwili. Kutokana na sababu flani alikoma utumishi kwa mujibu wa taratibu za jeshi, kwa sasa yupo kampuni ya madini kama afisa katika masuala ya ulinzi na usalama.
Subiri mambo yafike mahakamani utajua mbivu na mbichi.
Sirro alisema ni JWTZHao ni wale vijana ambao hutemwa na jkt wanaorudi mtaani..huwa wanakaa bila kazi,sasa ni afadhali uajiri mtu ambaye tayari ana mafunzo kuliko ambaye hajui hata kushika kisu.