Hoja changanuzi kunusuru amani ya watanzania!

CHAPTER5

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
556
506
Niwazavo mimi,
Msilaumu upinzani kwa kitendo Chao cha kutoka nje ya ukumbi wa bunge, ninyi kama wadau katika siasa na uchumi tunapaswa kutoa ushauri kwa upinzani wafanye nini wanapokutwa na hali kama inavoendelea nchini?
Pia wafanye nini ili wasinyanyaswe tena na kiti cha spika?
 
Wapinzani wanatakiwa waingie na chana za ndizi na wanapoona Tulia hatendi haki wamrushie ndizi. Wabunge mshahara wao na marupurupu yao yapo palepale. Lakini wananchi ndio hatupati haki yetu ya maendeleo.


Ndukiiiii

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom