scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,667
- 926
wakuu kama mwananchi wakawaida na niliyepiga kura yangu kwa foleni nilitarajia awamu hii suala la wabunge kuwa kutoka au kutolea nje kwa kutoelewana ndani lingekuwa ndoto
lakini majuzi hapa nimeshudia wabunge wametolewa nje bunge na kiti baada ya kutoelewana je sisi wananchi wakawaida bado wanatuchukuliaje maana sisi tunataka watu wajenge hoja chanya maana wanalipwa pesa zetu
ombi kuna wananchi hapendi mwenendo wakutoka toka nje kama kutoka kuwe mwisho baada ya hoja za msingi kuwasilishwa.