Hoja binafsi: Wabunge pigeni kura ya Kutoiamini Serikali na Raisi wake.. Please please

kelele za mpangaji hazimzuwii mwenye nyumba kulala, mmehamasisha maandamano wanainchi wamewasusa sasa mmehamia kwenye bunge ambalo wabunge wengi wa ccm.

uongozi huu Habebeki... Utakimbilia wapi?

kwenye mada kama hizi unatakiwa uwe makini na hoja zako ziwe na tija la sivyo inakula kwako maana lazima utapost kwa hasira na mwishowe unatukana.

maana huyu mkuu wa kaya kila mtu anamlalamikia kwa jinsi mambo yake anavyofanya sasa mi naona jambo la msingi ni kumtungi nyimbo mabango na hata kumuitia kanisa zima lijelimshauri atulie natujenge nchi yetu.

na kitu kingine kikubwa itabidi hao walioko nje ya nchi nao wapige kelele na kumwambia wamemchoka kama wanavyotaka kufanya watu wanaoishi washington DC ili iwe fundisho.

natupinge kile anachokitegemea eti anaitangaza nchi swali hapa je mh membe anakazi gani kama mkuu wa kaya anaact badala yake?

mwisho naomba mungu awabadilishe wawakilishi wetu wabadilike na wawapende watanzania wote.
Mtanzania Mweupe

Nakupa Like..
Jk kaweka Pamba Na Hajanyooshewa Kidole na watu wengi Direct hii indirect yetu haimpi shida tukikomaa na tuvunje ile sheria ya kushtakiwa maraisi endapo wakitoka madarakani ndio atatia akili Haya mateso tupatayo sijui yataisha Lini na 2015 ni mbali sana pia anaweza kumpasia kiti Riz1 kaazi kweli kweli

Tukiwa namawazo kama ya woyowoyo unaweza kupungukiwa akili,Jenga utaratibu wa kusoma mambo mengi,ukishindwa sana ijue hata katiba ya nchi yako! Tafakari sana nchi inakwenda wapi!

Vote of no confidence with the government could be the best alternative at this stage
Jamani tujifunze hata kwa wengine pia

Wabunge wote nawaombeni Mpeleke hoja kwa spika Wa Bunge kunahitajika ipigwe kura ya kutomuamini Raisi na serikali yote kwani madudu yafwanyayo hayavumuliki.

Wananchi wamesha choka yaani namaanisha.. pengine itawaamsha watawala wanaolala nimeona hata wabunge wanavyoisikitikia nchi yetu... Raisi yaonesha hana mpango nasi kwani hana shida ya kimaisha wala taabu na hakerwi na maisha yetu. me nitapiga kura na akitolewa ataifishwe mali zake alizotuchukulia iwe fundisho kwa kila raia anaenunua uongozi for faida yake

hongera RaisiwaPemba! wabunge wa upinzani wawekusikia, john mnyika, cdm, amelianzisha bungeni, ama kweli cdm inawasikia wapiga kura na kutenda wayatakayo. WITO: tuiunge mkono hoja hii nje ya bunge.

sizani kama itawezekana kwa bunge 75% lwanafikilia kwa kutumia makalio
Siyo wabunge tu 75% wanaofikiri kwa kutumia Ma-Masaburi, bali na spika pia anatumia Ma-Masaburi yake kufikiri badala ya akili, hawezi kuruhusu huo mjadala ufanyike hata siku moja. Labda kama angekuwa mzee wa viwango Six.

<br / nakweli mana mnyika kalianzisha tu akapigwa "STOP" kalazimishwa akae

Wabunge wote nawaombeni Mpeleke hoja kwa spika Wa Bunge kunahitajika ipigwe kura ya kutomuamini Raisi na serikali yote kwani madudu yafwanyayo hayavumuliki.

Wananchi wamesha choka yaani namaanisha.. pengine itawaamsha watawala wanaolala nimeona hata wabunge wanavyoisikitikia nchi yetu... Raisi yaonesha hana mpango nasi kwani hana shida ya kimaisha wala taabu na hakerwi na maisha yetu. me nitapiga kura na akitolewa ataifishwe mali zake alizotuchukulia iwe fundisho kwa kila raia anaenunua uongozi for faida yake

Ww mbona familia yako wamekuchoka kwa ulevi , uasharati nk lakini hawakupigii kura ya kutokuwa na imani na ww?

Sisi tunaongea mambo ya ukweli na wakati wake sio kama wewe unaovyoonekana mropokaji Serikali hii hata watoto wanaichukia ina kila aina ya Uozo.. Tujaribu kuweka ukweli na uongo tofauti ili mambo ya nchi yetu yaendelee mbele.

Nchi inajiendesha ndivyo sivyo Ndugu GeniusBrain wewe mambo yako kama ni safi basi wewe na wachache wenzako wengi hali ni mbaya nchi sio tuitakavyo mimi wala wewe kwa kuwa umetumwa na nape kwa ujila wa 2000 fanya kazi yako usimuangushe bosi wako...

Me sio Mlevi wala Mwasherati Situmii hayo...Pole

Hali halisi Rais akubaliki kila idara za kimaisha na siku ikiingizwa hiyo hoja bungeni lazima watamng'oa tu kwani habebeki we need rais mchapakazi

Wabunge wa CCM wamejikosha tu sababu siri zimevuja ila kwa ukweli wamechoka nae

Back
Top Bottom