Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,502
- 19,341
Hayo ndiyo mambo ya kuangalia wakati wa uandaaji wa katiba. Mfano mmoja ni kuwa Supreme Court of the US ina majaji tisa (ODD number) kwa hiyo ni lazima kutakuwa na consesus fulani kwa njia ya simple majority katika kila uamuzi wake. Kamati itapatikana kulingana na Katiba itakavyosema, kuna njia nyingi za kuipata; waandaa katiba wataamua ipatikaneje. Nia ni ku-limit powers za yule anayerithi kiti cha urais, isijepelekea kama Compaore alivyojirithisha kita cha urais wa Burkina Faso kwa kumwua Sankara.Je committee ikishindwa kufikia consensus inakuwaje ?
Je hiyo kamati itakuwa inapatikanaje ?