Hoja binafsi: Mwigulu Nchemba apewe uwaziri wa fedha

kutokana na umahiri wa mwigulu nchemba wa kunukulu matheories na theorists kibao, kukandia bajeti ya upinzani, kuiita rubbish na kuitupa; nakusudia kupeleka hoja binafsi kwa mkuu wa kaya ili amteue awe waziri wa fedha. Kwa wananiunga mkono tafadhali changieni hoja zenu zenye mshiko hapa . Nafikiri atatufaa huyu kijana kuliko yule mzee wa kihehe.

from what i saw it was purely ejaculating words. Mchumi anayejiita mahiri anasema serikali haiwezi kulipa mishahara ya watumishi wake kwa kiwango cha chini cha laki 3 lakini hafafanui ni kiasi gani cha mapato kinapotea au uhusiano wa uwekezaji na fedha zinazoliwa bila maelezo si mchumi. Sincerely aliamua kwa makusudi kutukana watumishi wa umma na watanzania kwa ujumla achia mbali ugomvi wake na chadema. Kila mara tunaingia hapa na kusema the ccm boat is lost unless something very crucial is done to rescue. Hawa vijana sio visionary ukilinganisha na umri wa chama chao.
 
Mwigulu wa Nchemba sijui nimzungumziaje?maana hafai hata u-houc boy leo apewe wizara ya mshiko!,labda apewe wizara Vunja amri ya sita kama ipo.
 
well said
mwigulu ni faru,mpenda madaraka na ukitaka kujua waulize waliosoma nae illboru na mazengo,alikuwa wa kwanza kukimbia kuwahi mstari wa uji aka sumu na wali aka kitei,,kwa ufupi kwa kukariri yuko poa ila si mtu wa kufikiria nafasi kama hiyo labda na wewe ni type hiyo ya uchu wa madaraka.Mazengo walimpiga chini hp.
 
Whaaaaaat........ Is it a joke......? sifa ni kushusa tu hayo mamisemo.
 
Bora umweke mjinga kuongoza wizara kuliko Mpumbavu kama huyo.
Au unapendekeza kwa kuwa uko mamtoni chalii!
 
Kwa wamagamba hilo linawezekana lakini kwa chama makini kama CDM kanjanja kama mwigulu hana nafasi!
 
Huyo hawezi kuongoza Wizara yoyote kwasababu hata Ndoa yake ameshindwa kuiheshimu.
 
waTZ wenzangu

nionavyo siasa ya sasa ya nchi yetu inazid kua ni ya vipande viwili,ni nadra sana kusikia wana CCM kukubaliana na hoja za upinzan hata kama ni za msingi na vivyo kwa CDM. hii itatupeleka wapi? leo huku mitaani wanachama/fan wa CDM siku zote huikandia Serikali hata kama na yy yumo humo humo Serikalini na wakati mwingine huaribia Serikali kwa nafasi yake. je hii ni kwa manufaa ya Chama chako au waTZ wenzio?
Na wana CCM (kwa nafasi yako) jitahidin kuonyesha uzuri wa Serikali kwa vitendo kwa kuweka mambo sawa kwa wananchi na si tu kusubiri CDM watasema nn na nyie mbishe, be flexible nchi ni yetu sote and we wish all the best to our Tanzania then Africa
 
Akiwa waziri wa fedha fedha zote si atafanyia uzinzi. Huo ukuu tu wa kampeni ya jimbo dogo kala mke wa kada mwenzake. akiwa waziri wake zetu wanaofanya kazi wizarani si wameisha
 
Akiwa waziri wa fedha fedha zote si atafanyia uzinzi. Huo ukuu tu wa kampeni ya jimbo dogo kala mke wa kada mwenzake. akiwa waziri wake zetu wanaofanya kazi wizarani si wameisha

slaa bana kwa vituko,hivi kwa nini alipora mke wa mtu ana kumtelekeza wa kwake???

saivi yule wa kwake wa zamani amempa ubunge kwa hiyo babu akienda dodoma anakumbushia enzi hizo.

halafu kule mwanza mzee alianguka bafuni akipiga pu....n.ye ..to
 
waTZ wenzangu

nionavyo siasa ya sasa ya nchi yetu inazid kua ni ya vipande viwili,ni nadra sana kusikia wana CCM kukubaliana na hoja za upinzan hata kama ni za msingi na vivyo kwa CDM. hii itatupeleka wapi? leo huku mitaani wanachama/fan wa CDM siku zote huikandia Serikali hata kama na yy yumo humo humo Serikalini na wakati mwingine huaribia Serikali kwa nafasi yake. je hii ni kwa manufaa ya Chama chako au waTZ wenzio?
Na wana CCM (kwa nafasi yako) jitahidin kuonyesha uzuri wa Serikali kwa vitendo kwa kuweka mambo sawa kwa wananchi na si tu kusubiri CDM watasema nn na nyie mbishe, be flexible nchi ni yetu sote and we wish all the best to our Tanzania then Africa
Asante kwa ushauri wako!
Lakini bado, unasemaje kuhusu Mwigulu kupewa wizara ya Fedha>
 
Waziri Nchemba anafit zaidi ktk wizara mpya - Wizara ya kujamiiana na maendeleo ya wanawake
 
Bado nakusanya hoja zenu. nitatoa summary baadae. Ila hili swala la kuchukua wake za watu kaniharibia hoja.
 
Yani kuwa mweka fedha kwenye kamati za arusi basi ndiyo ufuzu kuwa waziri wa fedha. Aendelee kuwalaghai hukohuko kwenye chama na kuwa mtunza fedha wao. Huyo jamaa na First class yake hawezi mfikia Waziri wa sasa wala Zitto.
 
Kutokana na umahiri wa Mwigulu Nchemba wa kunukulu matheories na theorists kibao, kukandia bajeti ya upinzani, kuiita rubbish na kuitupa; nakusudia kupeleka hoja binafsi kwa mkuu wa kaya ili amteue awe waziri wa Fedha. Kwa Wananiunga mkono tafadhali changieni hoja zenu zenye mshiko hapa . Nafikiri atatufaa huyu kijana kuliko yule mzee wa kihehe.
Apewe tu wote walipita wametusaidia nini?wenye taaluma zao wameshindwa kina mgimwa,sasa yeye atashindwaje?uzuri wa ccm hatuitaji mambo mengi ilimradi uwe mtu wa kutii kila kitu,ATAPATA
 
savimbi anapga ramuli sana huenda mara hii ataupata uwazri. Subiri majibu yake kwa cdm
 
Back
Top Bottom