Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,196
- 25,516
Nchi jirani ya Rwanda inakaribia kufanya uchaguzi wake mkuu mwaka huu. Hadi sasa,ni dhahiri kuwa mpambano katika Urais utakuwa kati ya vyama viwili tu vya Rwanda Patriotic Front(RPF) na the Green.
RPF ni chama tawala na chama cha Rais Paul Kagame. The Green wamebaki wapinzani pekee wa RPF baada ya vyama vingine vya upinzani kumuunga mkono Rais Kagame na chama chake cha RPF. Kama si RPF,basi wananchi watawachagua the Green.
Nasi mwaka 2020,turahisishe mambo. Vyama viungane mkono na tuwe na pande mbili tu. Kuwa na vyama vingi,hasa katika uchaguzi wa Rais,ni kutawanya kura na kuwachanganya hata wapigakura. Wananchi wanapaswa kuchagua A au B tu wakati wa uchaguzi.