Hoja binafsi kwa wabunge wa upinzani

Novatus

JF-Expert Member
Jul 28, 2007
330
0
kawanza nawapongeza kwa kuchaguliwa kwenu.

Pamoja na majukumu mengine mtakayojuwa nayo, naomba mpaze sauti tume ya uchaguzi iundwe na vyama vyote ili uwakilishi katika chombo hicho uwe wa haki. Pigeni kelele weka nguvu zenu, omba maoni ya wananchi tutwaunga mkono.

vinginevyo demokrasia ya nchi hii ni kiini macho. haiwezekani Mwenyekiti, mkurugenzi aliyeteuliwa na rais amwangushe hata kama utelezi ni wakuua mtu. jambo linalofanyika hapa ni lazima ushindi wa mechi uwepo hata kama penalti itolewe kwa kosa lililofanyika katikati ya uwanja.

CHONDE CHONDE ANGALIA HILI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom