Hoja binafsi.
Kwakuwa Chadema walijipambanua kama wapinga ufisadi kiasi cha kuungwa mkono na wananchi wengi wapinga ufisadi...
Chadema ili kuonyesha kuwa wamedhamiria kufanya mapambano dhidi ya Ufisadi waliamua kutaja Orodha ya Mafisadi pale Mwembe yanga Mwaka 2007.
Chadema wakabuni vazi la kombati,kombati lilizowatambulisha kuwa wao ni wanamgambo wa Kupinga ufisadi.
Lakini hivi Karibuni ,Wamegeuka na kula sahani moja na waliofilisi taifa hili.
Hata harambee za kuendesha halmashauri zinazoongozwa na Chadema sasa zinaendeshwa na Mafisadi Papa.
Kubwa kuliko yote kwa sasa chadema kupitia Mwamasheria wake Mh Tundu lisu waliizima Agenda ya Ufisadi rasmi pale Lissu aliposema kuwa tatizo la Tanzania sio Ufisadi bali tatizo ni Mfumo mbovu wa Serikali.
Kwa lugha ya kawaida mshumaa wa mapambano dhidi ya Ufisadi umezimwa ndani ya Chadema na kuwashwa ndani ya Chama cha ACT-Wazalendo.
Je ? Kwa sasa kuna haja ya Chadema kuendelea kuvaa vazi la kombati za uanamgambo wa Ufisadi ?au wawaachie ACT-Wazalendo wavae uanamgambo wa kuendeleza mapambano dhidi ya Ufisadi na Mafisadi?
Vazi gani kwa sasa wanastahili ili kujipambanua tena kama Makao Makuu ya Ufisadi?
Nawasilisha na karibuni kwa mapendekezo.