Hoja binafsi: Kati ya Bunge na Rais nani anayepanga na kuamua matumizi ya fedha za umma?

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
HOJA BINAFSI:

MIMI si Mbunge lakini ninahisi kuwa na hoja ya Kibunge. Ninaomba Mbunge yeyote awe upinzani au Lumumba anisaidie kuhoji hili swali kwa Serikali ili tupate majibu barabara. Nataka kujua Kati ya Bunge na Rais nani anayepanga na kuamua matumizi ya fedha za umma!

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Wizara ya Afya haina hela ya kuwaajiri madaktari zaidi ya 230 waliokuwa wame-qualify vigezo vya kwenda kuajiriwa nchini Kenya kwa muda mfupi. Wizara kwa maana ya Serikali haina fedha ya kuwaajiri madaktari hawa kwa sasa hata kesho.

Kilichonishtua ni Ummy Mwalimu kusema amepigiwa simu na Rais JPM na kumwambia waajiriwe wote atawalipa yeye Rais JPM.

Mbunge nisaidie kuiuliza Serikali, hawa watakuwa ni waajiriwa wa nani? Yani nani ni bosi wao, Wizara au Rais JPM? Rais wa wanyonge na masikini Leo anazo hela ya kuwaajiri madaktari zaidi ya 200 kwa mpigo kwa hela za Rais? Zimetoka wapi?

Tujuavyo ajira ina taratibu zake za kimkataba. Kama pensheni na kadhalika. Pensheni ya hawa madaktari italipwa na nani? Hatuoni mwisho wa siku Wizara/Serikali itawakana hawa madaktari sasa maarufu "Madaktari wa Magufuli"?

Hivi tunaweza kuwapa wataalamu wa Afya, Madaktari sawa na ilivyokuwa kwa Kocha wa Taifa Stars, Maximo ambaye baada ya TFF kushindwa kumlipa kwa kukosa bajeti Rais Jakaya akaamua kumlipa kwa hela yake?

Hawa madaktari wanaajiriwa na nani? Itakuwaje Rais Magufuli akijiuzulu Urais Leo, au asigombee 2020 nikaingia mimi nisiowatambua ndio mwisho wa ajira zao? Serikali njooni na majibu ya kuridhisha.

Na nyie madaktari think twice kwa ajira hii ya aina yake nchini. Ninyi ni wataalamu si wanasiasa. Ajira yenu si sawa na ya Hamfrey Polepole au Ben Saanane!
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
@BeNgetti
 
ili kuhalalisha mambo wanakausemi kao wanakwambia 'tunanyoosha kwanza nchi, ilikuwa imepinda hii'
 
Hoja ya msingi sana hii aisee!

Ila alishasemaga yeye ndio anakusanya kodi na ajua uchungu wa kuipata hela so lazima apanyange matumizi yeye!

Pia alisema Urais una mizizi mirefu zaidi umejichimbia!

Kukazia zaidi akasema juzi, Tusimpangie!
 
Katika serikali zote za kidikteta, bunge ni sawa na simba wa makaratasi tu. Anayepanga matumizi ni Rais (Dikteta) mwenyewe.
 
Fomu alichukua mwenyewe, hakutumwa na mtu, pesa anakusanya mwenyewe kwa hiyo hapangiwi na mtu. Yeye ndo anapanga! Katiba mpya ya JPM!
 
HOJA BINAFSI:

MIMI si Mbunge lakini ninahisi kuwa na hoja ya Kibunge. Ninaomba Mbunge yeyote awe upinzani au Lumumba anisaidie kuhoji hili swali kwa Serikali ili tupate majibu barabara. Nataka kujua Kati ya Bunge na Rais nani anayepanga na kuamua matumizi ya fedha za umma!

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Wizara ya Afya haina hela ya kuwaajiri madaktari zaidi ya 230 waliokuwa wame-qualify vigezo vya kwenda kuajiriwa nchini Kenya kwa muda mfupi. Wizara kwa maana ya Serikali haina fedha ya kuwaajiri madaktari hawa kwa sasa hata kesho.

Kilichonishtua ni Ummy Mwalimu kusema amepigiwa simu na Rais JPM na kumwambia waajiriwe wote atawalipa yeye Rais JPM.

Mbunge nisaidie kuiuliza Serikali, hawa watakuwa ni waajiriwa wa nani? Yani nani ni bosi wao, Wizara au Rais JPM? Rais wa wanyonge na masikini Leo anazo hela ya kuwaajiri madaktari zaidi ya 200 kwa mpigo kwa hela za Rais? Zimetoka wapi?

Tujuavyo ajira ina taratibu zake za kimkataba. Kama pensheni na kadhalika. Pensheni ya hawa madaktari italipwa na nani? Hatuoni mwisho wa siku Wizara/Serikali itawakana hawa madaktari sasa maarufu "Madaktari wa Magufuli"?

Hivi tunaweza kuwapa wataalamu wa Afya, Madaktari sawa na ilivyokuwa kwa Kocha wa Taifa Stars, Maximo ambaye baada ya TFF kushindwa kumlipa kwa kukosa bajeti Rais Jakaya akaamua kumlipa kwa hela yake?

Hawa madaktari wanaajiriwa na nani? Itakuwaje Rais Magufuli akijiuzulu Urais Leo, au asigombee 2020 nikaingia mimi nisiowatambua ndio mwisho wa ajira zao? Serikali njooni na majibu ya kuridhisha.

Na nyie madaktari think twice kwa ajira hii ya aina yake nchini. Ninyi ni wataalamu si wanasiasa. Ajira yenu si sawa na ya Hamfrey Polepole au Ben Saanane!
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
@BeNgetti
Uko sahihi mkuu
 
Mimi nazan anayepanga matumizi ni serikali kupitia wizara zake na ndio maana tuna bajeti (estimation of revenue and expenditure for a given period of time). Bajeti hii huwasilishwa bungeni ili kupitishwa na kutoa maoni na ikiwezekana kufanya marekebisho.

Back to "Madaktari wa Magufuri"
, kuna vitu haviwezi kusubiri mpk bunge liamue ndo vifanyike hasa kama vina tija kwa Taifa na vinagusa maisha ya Mtanzania wa kawaida. So ni sawa kwa yeye kuwapa ajira madaktari hawa maana mtaani kugumu sana asikwambie mtu.

"Muda wa kampeni na siasa ushaisha, sasa ni kazi tu, tukutane 2020" JPM
 
mkuu, inategemea ni nchi gani.
kama ni Tanzania (ambayo 99.99% ya raia wake ni kabila la "Wadwanzi"), jibu unalo mkuu!
 
Maamuzi yenyewe yanafanywa kwa kukurupuka, sasa tutegemee nini?
 
Back
Top Bottom