Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Ujumbe umeupata sawa sawa.Katoe mimba au kula limau.
Ujumbe umeupata sawa sawa.Katoe mimba au kula limau.
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
Mwisho wa udhalimu na mateso ya watz kesho,Mungu ametuletea mkombozi mchague mtanzania mwenzetu asiye na shaka juu ya vyeti vyake vya kuzaliwa, mtetezi wa wanyonge na sio mnyongaji wa wanyongeKesho Watanzania tunaenda kumsulubu msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Mwisho wa udhalimu na mateso ya watz kesho,Mungu ametuletea mkombozi mchague mtanzania mwenzetu asiye na shaka juu ya vyeti vyake vya kuzaliwa, mtetezi wa wanyonge na sio mnyongaji wa wanyonge
Aliyewasiliti watz ni yule aliyewasomesha watz nambaWatanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi, usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Aliyewasiliti watz ni yule aliyewasomesha watz namba
Mwanakijiji ana njaa isiyo na kifaniSijui ni mahaba au kitu gani, Ila naona aibu Mimi mtu Kama mzee mwanakijiji kuamua kujitoa ufahamu na akili zake nyingi ili kusapoti ushenzi na uuaji. Never trust a hungry man!!!
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...
Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi kubwa zaidi ya kuuelekeza upinzani kuelekea 2025. Hadi hivi sasa hajajaribiwa kama kiongozi mkuu wa upinzani, anaenda kujaribiwa sasa
Kila anaye unga mkono mlengo wa kulia mnasema njaaa njaa , haya nyie vijana makini wenye pesa zenuSiku hizi vishairi shairi, kukesha milimani ukijifanya mlokole, stori za shigongo na viforum uchwara umeachana navyo. Ni mwendo wa Magu magu magu huku ukiyumbua mali zilizojaa damu za watu na dhulma.
Kweli Njàaaaaaaaaa, acha iitwe Njaaaaaaaaa
Kwani umeshikiwa fimbo? KuaminiMore than 80%? You must be joking..
Analysis ya mahaba..
15Min mgombea wa CCM, 2Min Lissu
go figure
Dah. ...yaani kwa akili zako...umemuona mtu yoyote mwenye akili timamu ndani ya CCM?Wanaccm wengi wenye akili timamu watampigia kura Lissu.
Tatizo siyo kuunga mkono, shida ni mtu kujifanya mcha Mungu, mpenda haki wakati kinachomfanya alivyo kinajulikana.Kila anaye unga mkono mlengo wa kulia mnasema njaaa njaa , haya nyie vijana makini wenye pesa zenu
Mbona hamkusapoti chama chenu mkaacha kitembeze bakuli za michango muda ambao ilitakiwa utumike kunadi sera???