Hofu yatanda: Bosi wa EWURA kumfuata Mramba?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Wiki ya kwanza ya mwaka 2017 imeanza na utumbuaji fanisi

Ktk hili mkurugenzi wa TANESCO amekuwa wa kwanza kutumbuliwa kwa mwaka 2017

Hofu kubwa imetanda kwa mkurugenzi wa EWURA na sasa baadhi yao wameanza kuwa na hofu kama watamaliza wiki hii salama.

Kiusalama zaidi ukimtumbua wa TANESCO lazima EWURA akamsaidie huko aendako.. Naamini Mh rais utaliona hilii...
Tunawatakia wote happy new year
 
Katika watu ambao watakuja kukumbukwa kwa kuwa smart ni yule jamaa ya TIGO kanda ya ziwa aliyeteuliwa ukuu wa wilaya na kukataa. JPM keshasema kuwa asiyeendana na kasi yake awapishe wanaoweza sasa kuna haja gani ya kusubiri mpaka uione barua ya Msigwa!? Kama huuwezi mwendo wa matamko si unaachia ngazi tu!
 
Ukiwa kibosile kwenye serikali hii basi siku za ijumaa, jumamosi na jumapili ni vyema ukazitumia kwenye nyumba za ibada kuliko kuzitumia kwenye bia na nyama choma, maana utawala huu yule malaika wa kuzimu anafanyakazi siku za mapumziko ya mwisho wa wiki.
 
Kama leo ikipita hapo kaitaba bila kutumbuliwa basi atapona kwa mwaka huu.
Na atakuwa kaamka na tumbo la mharisho huyo dg maanina chezea jpm ww
 
N
ALHAMISI NA JPILI TU KAKA... HIZI SIKUNYINGINE ATUTUMBUAGI WATU CHCK EXP SIKU WAIOTUMBULIWA WAKUU. SUNDAY N THURDAY
 
Ukiwa kibosile kwenye serikali hii basi siku za ijumaa, jumamosi na jumapili ni vyema ukazitumia kwenye nyumba za ibada kuliko kuzitumia kwenye bia na nyama choma, maana utawala huu yule malaika wa kuzimu anafanyakazi siku za mapumziko ya mwisho wa wiki.
Hahahahaaaaaaaaaaa mpwaaaaaaaaaa imebidiii niwaahiiiiichooniii baadayakusomaaa hapaa uwii malaika ... Kazikwaooo unawapa NA MadWas yakujilinda bado wakaishia bar
 
Wiki ya kwanza ya mwaka 2017 imeanza na utumbuaji fanisi

Ktk hili mkurugenzi wa TANESCO amekuwa wa kwanza kutumbuliwa kwa mwaka 2017

Hofu kubwa imetanda kwa mkurugenzi wa EWURA na sasa baadhi yao wameanza kuwa na hofu kama watamaliza wiki hii salama.

Kiusalama zaidi ukimtumbua wa TANESCO lazima EWURA akamsaidie huko aendako.. Naamini Mh rais utaliona hilii...
Tunawatakia wote happy new year
HAPANA SIYO KWELI, HUYO HAWEZI TUMBULIWA LABDA ITOKEE ISHU KUBWA SANA ZAIDI YA HII...NI MFAULME WA JK HUYO KATIKA ZILE METER ZA MAFUTA ILIYOCHEPUKWA...!
 
Wiki ya kwanza ya mwaka 2017 imeanza na utumbuaji fanisi

Ktk hili mkurugenzi wa TANESCO amekuwa wa kwanza kutumbuliwa kwa mwaka 2017

Hofu kubwa imetanda kwa mkurugenzi wa EWURA na sasa baadhi yao wameanza kuwa na hofu kama watamaliza wiki hii salama.

Kiusalama zaidi ukimtumbua wa TANESCO lazima EWURA akamsaidie huko aendako.. Naamini Mh rais utaliona hilii...
Tunawatakia wote happy new year
Hofu imetanda wapi? Hivi vijiti vya mchana mpunguze, unatoka kutumia lijiti halafu unaanzisha uzi usio na kichwa wala miguu
 
Wiki ya kwanza ya mwaka 2017 imeanza na utumbuaji fanisi

Ktk hili mkurugenzi wa TANESCO amekuwa wa kwanza kutumbuliwa kwa mwaka 2017

Hofu kubwa imetanda kwa mkurugenzi wa EWURA na sasa baadhi yao wameanza kuwa na hofu kama watamaliza wiki hii salama.

Kiusalama zaidi ukimtumbua wa TANESCO lazima EWURA akamsaidie huko aendako.. Naamini Mh rais utaliona hilii...
Tunawatakia wote happy new year
kwani nao kuna mramba?Otherwise hawana tatizo km wameletewa maombi na sababua za nguvu. Shida ni serikali kuwaingilia wakiwa km tume huru.
 
Ewura n tumehuru r u serious??
 
Hawa maboss sasa hivi wanaogopa hata kufanya kazi, zao kwa uweledi wanaogopa CHATO
 
Soma hiioo barua Tanesco wametumika kuomba ongezeko.. Wenyemamlaka yakukubali kukataa nihao waiopokea barua unajua kinananii??
Then wamejibiwa ongezeko litafanyika NA imekuwa announced unawezanisaidia anaetakiwa kuadhibiwa wakwanza n nani??
 
Attachments

  • FB_IMG_1483347177929.jpg
    FB_IMG_1483347177929.jpg
    44 KB · Views: 44
Mnalazimisha vitu ambavyo haviendani.

Ninavyojua mimi EWURA kazi yao ni kuregurate bei tu.

Wenyewe wamepelekewa maombi toka Tanesco. Tanesco wamejitahidi kuweka eitha ushawishi kwenye ombi lao ili wakubaliwe.

Ikumbukwe bei kupanda inatokana na production cost kupanda. Tanesco walijificha katika kichaka hicho kwa kisingizio flani flani kwenye ombi lao.

Lakini katika hali halisi ni kwamba production cost imeshuka, kwa maana uzalishaji zaidi ya 50% unatokana na gas. Kwa hiyo gharama za uzalishaji wa umeme zipo chini na inatakiwa unit za umeme cost yake ishuke zaidi.

Tatizo lipo katika uzembe wa tanesco. Wameshindwa kujiendesha. Wameshindwa kudhibiti wizi wa umeme. Umeme mwingi unapotea sana. Wameshindwa kuwa wabunifu. Vilevile wanapopata wateja wapya inakuwa shida sana kuwaunganishia umeme.

Kwahiyo agenda ya Tanesco ya kuongeza gharama za umeme ni hujuma ya indirect kwenye jitihada za serikali kuvutia wawekezaji wa viwanda. Kwa hiyo EWURA hawana kosa lolote. Tanesco wanajua cost za production ndio walioleta ushawishi kwa wapangaji wa bei. Lakini uhalisia ndio huo kwamba Tanesco wameshindwa kuwa wabunifu, wanajiendesha kama miaka ya 50s. Wameshindwa kwenda na kasi. Wameanza kujiundia miradi yao kupitia mgongo wa kuongeza bei za umeme.

Kwa upande wangu EWURA hana kosa.
 
Soma hiioo barua Tanesco wametumika kuomba ongezeko.. Wenyemamlaka yakukubali kukataa nihao waiopokea barua unajua kinananii??
Then wamejibiwa ongezeko litafanyika NA imekuwa announced unawezanisaidia anaetakiwa kuadhibiwa wakwanza n nani??
Hakika bila upendeleo wa kwanza kutumbuliwa alipaswa kuwa ewura, then Tanesco, na mwisho wizara.
Lkn kama hawa wataachwa hakika nitaamini kuna mtu alikua anaviziwa akosee tu ili apigwe nyundo.
 
Back
Top Bottom