Hofu yangu kwa wapinzani

Jahom

JF-Expert Member
Aug 26, 2008
351
32
Lisu na Mnyika wameanza kwa haraka na kasi kubwa mno. Watadhitiwa hata kabla ya kazi yenyewe. Wasome vizuri namna ya kufanya mashambulizi hasa kwa kupitia Spika M/ke ambaye hatakubali hata km kakosea kuhusu taratibu n.k.

Kasome Katiba ya JMT na kijitabu cha Sheria za bunge.

Ukimaliza basi kapunguze maji mwili na ulale salama.

Hii imejadiliwa sana jana , tafuta threads za jana!
Lakini biashara asubuhi!
Jaribu kuangalia kwa angle nyingine kuwa yule mama ataona kuwa hapo si mahala pa mchezo, hivyo atajirekebisha sana na kuwa fair!:doh:

Kasome Katiba ya JMT na kijitabu cha Sheria za bunge.

Ukimaliza basi kapunguze maji mwili na ulale salama.

Ah, kumbe uko macho!

Lisu na Mnyika wameanza kwa haraka na kasi kubwa mno. Watadhitiwa hata kabla ya kazi yenyewe. Wasome vizuri namna ya kufanya mashambulizi hasa kwa kupitia Spika M/ke ambaye hatakubali hata km kakosea kuhusu taratibu n.k.

they haveto do their work either way..kwani wanambembeleza nani?kuanza kwa kasi ndo nini?na kudhibitiwa ndo nini?i fail to get the point your trying to make here

Hahahaaaaa..............

Sawa Mkuu, ngoja nilale na hili wala sitanii. Ntaamka mchana tayari.

Asubuhi njema na kumbuka kusoma ujumbe wa Pakajimmy hapo juu......

Ah, kumbe uko macho!

Suala sio kuwadhibiti kwa ubabe na jazba,spika affuate kanuni na sheria za kuendesha bunge,najua vinginevyo jumba hilo litamshinda makinda.ooooohooo.!yangu macho.

Lisu na Mnyika wameanza kwa haraka na kasi kubwa mno. Watadhitiwa hata kabla ya kazi yenyewe. Wasome vizuri namna ya kufanya mashambulizi hasa kwa kupitia Spika M/ke ambaye hatakubali hata km kakosea kuhusu taratibu n.k.

Suala la kujiuliza ni je, maswali ya Lissu na Mnyika yalikuwa na mantiki? Kama masuala yaliyoulizwa yana mantiki sioni sababu ya kutouliza eti kwa sababu ni mapema mno. Nchi hii inaendeshwa kwa mazoea mno lazima kuwe na mabadiliko na bila changamoto kama za akina Lissu mabadiliko sahau.

Ninachowasihi sana wapambanaji mjengoni ni kuwa makini na hoja zao na wasisimame kuchangia bila 'data'. Kwa hiyo, ninawapa changamoto ya kusoma sana na kufanya utafiti. Kwa kufanya hivyo nchi itasonga mbele na mtakuwa mmetusaidia sana sisi akina yakhe tuliopo mitaani.

Hakuna kuogopa kama unamaswali yenye maslahi ya Taifa. Kama mama yetu kawekwa na watu, itafika mahali atawaambia chukueni cheo chenu....lakini kama ameamua mwenyewe, bila shaka atamudu. Atasoma alama za nyakati.

Ni hatari sana ukiwachukulia hatua CHADEMA mfano ukawafukuza bungeni, ukifanya hivyo, 2015 watapata 99% ya urais na bunge. Usipowajibu hoja zao kwa kuzikandia hadharani utawafanya wananchi wanaofuatilia wapandwe hasira na kuwaonea huruma na 2015 watapata 200%? Ukitokea CCM na CUF wanakuwa YES, YES, YES, hata mahali pa NO, basi wananchi watasema NO, kwa niaba yao 2015.

Ukweli ni kwamba njia pekee hapa kwa mama yetu ni kuahirisha kulala kila siku na kujisomea kanununi na sheria za ubunge na kuja amejiandaa. Anaweza asijue maswali yote yatakayoulizwa, hivyo, anaweza kumshirikisha Shehe Yahya ili amtabirie maswali na majibu pia...

Pole mama, nakupenda!

Hiki kibibi jamani ni kikatili sana.Hoja za akina Lissu zimesimama sana ila tatizo ni kile kibibi.Jamani kibibi hiki!Sina imani nacho hata kidogo.Enzi za msekwa zarudi bungeni

I guess this to be the worst in the House ever. Emotions will ruin!!

Lisu na Mnyika wameanza kwa haraka na kasi kubwa mno. Watadhitiwa hata kabla ya kazi yenyewe. Wasome vizuri namna ya kufanya mashambulizi hasa kwa kupitia Spika M/ke ambaye hatakubali hata km kakosea kuhusu taratibu n.k.

Unakuwa mwoga hivyo! Hufai kwenye jamii.

Back
Top Bottom