Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,149
- 2,784
Unakumbuka kilichotokea katika uandikishaji juzi? Na tarehe zikaongezwa? Naomba nirudie kusema hili.... ITAFIKA WAKATI UKIMYA ULIOPO MIOYONI MWA WATU UTABAINIKA HADHARANI SIKU NA SAA ISIYOJULIKANA.....Mkuu DAUDI Mtambuzi Tuwe wakweli tu Upinzani unapwaya sana
Upinzani unaotegeshea Rais akosee kidogo ndio watu wapate sera za chama hiyo haikubaliki
Chama makini husoma falsafa za kiongozi aliyeko madarakani na kuamua kuja na kitu ambacho kita m pre empty standing President kwa sera nzuri
Sasa wapinzani wa Tanzania wanasubiria Rais akibadilisha waziri inakuwa ndio ajenda ya chama kulalamika ati Kwanini Rais amebadilisha Waziri
Wanasubiria Rais asipoenda kuhutubia U.N. inakuwa ndio ajenda yenu,acheni Hivyo Mkuu you have to wake up from darkness
Hii Nchi inahitaji viongozi kama Magufuli kwa miaka 30 mfululizo then ndio mind set za wabongo zitabadilika