Hofu ya Upinzani ni CCM kuwa imara tena chini ya Mzalendo Mwenyekiti Magufuli

Sio leo wala kesho.kwa jinsi wananchi % kubwa walivyo wajinga hoi bin taaban, ccm itatawala milele.
Ccm hawaibi ushindi.wanashinda kihalali kabisaa huu ndio ukwel na wanaowapa ushindi ni wananchi wapumbavu ambao wajazana country side huko.
Sisi wa mitandaoni huku ni wachache mnoooo n believe me kuna watu wanapiga kelele humu na hawajawahi toka nje ya dar kwenda vijijini.

Nb.
Huu ni mtazamo wangu bcz
1. Nimeandikisha daftar la kudumu la wapiga kura -vijijini
2. Nimesimamia uchaguzi - vijijini
3. Kama watanzania wengine wengi , nimezunguka sana vijiji vya bongo hii (sijafika tanga , kigoma na Ruvuma so far)

NOTE: mimi sio mwana ccm..siipendi ccm wala siichukii 🙄
 
CCM chini ya Dr Magufuli imetugawa mno, imefikia hata mwana CCM akifikwa na msiba mnashindwa kushirikiana nae.
 
jamani hii hoja sio hoja ndogo hebu tubadilile tuwekeni hoja. Mezani.

CCM wanatumia mbinu chafu, nguvu za Dola, tume ya uchaguzi.... Na hii Ni hatari itafanya wajione wao ndio wenye hati miliki ya kutawala na kusahau mahitaji ya raia...
 
Sasa hivi kila mtu anakimbilia ccm ili apitishwe kuwania ubunge akijua akipitishwa uwezekano wa kuwa mbunge.
Matokeo yake wanaoingia ccm sio wote wana nia njema na ccm wengine wana malengo yao binafsi lakini viongozi wa juu wa ccm wanalazimisha watu wanaowataka ndio wapitishwe
 
Sema nini elimu yako ndogo unashindwa kutofautisha chama tawala na upinzani .unataka taasisis ziwaheshimu huku hampo madarakani

Taasisi zinatakiwa ziheshimu kwa kuwa madarakani, au kwa kufuata sheria? Sikutegemea kama unaweza kuandika utoto wa kiwango hiki!
 
Hii awamu inaongozwa na washamba toka vijiji ambavyo makuzi yao yalikua ni ugali mkavu,sasa wameona pepo ni kuchezea pesa za walipa kodi kwa kununua mandege,sgr etc.

Wanafisadi nchi kwa kujenga miradi isiyo na ulazima,yeye ni yesu wa burigi hapingwi chama kimekua cha hovyohovyo
 
Back
Top Bottom