Nina hofu ya Hepatitis B naomba ushauri

kuna sauti inaniambia nikwambie u won't die but you will live bro.... Mungu wetu ni mwema funua ufunuo 1 mstari wa 4 neno linasema yeye ni Alfa na omega yani mwanzo na mwisho naamini Mungu anakusudio zuri zaidi....... Pia usikate tamaa mkuu watu tumeisha humu ndani mwilini ni Mungu ndo anajua ukienda hospital utaona watu wanavyohangaika mkuu.....
Amina
 
Mkuu hii dunia hakuna mtu anaishi kwa amani, hayupo nakwambia. Kila mtu ana jambo linalomtatiza mshukuru Mungu huna maumivu ya mwili au dalili za kuumwa. Hayo maumivu ya moyo ndo binadamu tumeumbiwa, kuwa na furaha na amani
Asante ndugu
 
Laiti binadamu tungeyaona yanayoendelea ndani ya miili yetu tungekua wapole sana. Tunaishia kujipaka mafuta mazuri na kupendeza kimavazi lakino most of us are walking dead. Kiongozi saa yako bado, bwana ndo anajua. Cleanse your soul.
Thanks
 
Viatu vyako kila nikijaribu kuvivaa naona havinitoshi kabisa.Ngoja nikuombee kwa mola wetu muumba
FB_IMG_1555137272441.jpg
 
Nilimuuliza dr. mmoja kwamba ni kwa namna gani naweza kuwa nimeupata, alichojibu ni kwamba kwa umri wangu na pia kwa jinsi ambavyo tatizo limefikia inaonekana sikuzaliwa nao wala sikuupatia ukubwani kwa njia ya ngono.

Sana sana ni kupitia vitu vya ncha kali utotoni. Ambapo nikirudi miaka yetu ya utotoni sindano hazikuwa disposable kama sasa. Kwa hiyo possibility kubwa kwangu ninadhani ni kupitia njia ya sindano.

All in all, Mungu huwa ana makusudi yake kwetu.
 
Pole sana ndugu, Nakuombea kwa Mungu akupe moyo wa ushindi na amani dhidi ya huo ugonjwa

Kwa Kila Jambo tujifunze kumshukuru na kumtukuza Mungu wetu pasipo kuchoka
 
Back
Top Bottom