Hofu ya Corona: Majaliwa atekeleza maelekezo ya Waziri Ummy Mwalimu ziarani Tanga

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,755
2,000
#PICHA:Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameanza ziara ya kikazi mkoani Tanga na kutekeleza maelekezo ya Waziri wa Afya, Mhe.Ummy Mwalimu

aliyoyatoa kwa Watanzania ya kutosalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana

ikiwa ni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. FB_IMG_1583055717282.jpeg FB_IMG_1583055714357.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom