Hofu ---- mdogo wangu na safari ya Loliondo ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu ---- mdogo wangu na safari ya Loliondo !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by FirstLady1, Mar 21, 2011.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wapenzi naomba mnisaidie kuomba kwa imani ,
  Mdogo wangu kaenda kwa Babu Loliondo hii sasa ni siku ya Tano inaelekea bila mawasiliano ya simu..Mara ya mwisho alinipigia na kuniambia
  "dada safari yangu imenichosha sana ,hatufiki kwa babu baridi pia mvua vinanitesa chakula nilichobeba maji pia Juice vyote vimeanza kuisha "
  Toka hapo sipati simu wala msg yoyote kutoka kwake
  JF ni kama family pls naomba tuombe pamoja wapenzi wangu kila nikimuwaza huyu binti nahisi kuchanganyikiwa ....
  Sina amani ,sina raha sina hamu ya kupost chochote
   
 2. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jipe moyo mkuu mungu ni muweza wa yote
   
 3. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Usiogope atarudi tu ndo hali halisi ya Loliondo hiyo hawezi kufa kwa njaa ..ni hali ya usafiri tu...
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Atarudi..
  Mimi nilipokea ugeni hapa Arusha, ambao ulikuwa transit kwenda huko, NA waliondoka siku ya Alhamis, na mpaka sasa hivi bado hawajarudi, na hawapatikani kwa simu!
  Hali ni ngumu sana huko, hasa baada ya hizi mvua!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuhusu chakula
  Watu wote wanaoendA huko kwa sasa hawana haja ya kubeba mavyakula wala maji, maana kuna wajasiriamali ambao wameamua kujikita huko kutoa huduma hizo!
  Mara ya kwanza walikuwa na bei kali sana, lakini kwa sasa kutokana na ongezeko la watoa huduma hiyo, basi bei zinajiregulate zenyewe kwa kupitia competition!
  Hivyo, kama ana hela mfukoni, wala asiwe na presha, na wewe mwenyewe tuliza moyo kabisa!
  Right shem langu?
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hatufiki kwa babu!!!
  Suala la kusema .."hatufiki kwa babu, nimechoka...mvua...baridi....joto...", Hayo ni mamb o madogo mno ambayo kwa mtu kama mimi wala nisingemjibu kitu zaidi ya kumshauri avumilie!...yamekaa kimapozi zaidi kulinganisha na shida ya mtu anayeumwa, na anahitaji dawa seriously toka kwa babu!
  Akae akijua kuwa kuna wanaotamka kuwa wako tayari hata kukaa mwezi mzima huko, ili mradfi mwishowe wanywe kikombe!
   
 7. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inawezekana simu yake imeisha charge ndio maana humpati? ivi huko Loliondo kuna umeme? na kama upo kuna mgao pengine. Hali halisi ya yuko lazima itakua ngumu kutokana na kufurika kwa watu, mpe muda ameenda kutibiwa na Mungu atamrudisha salama.
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  FL1, kwa nini mdogo wako kaenda huko jamani ana tatizo gani in the first place?
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kwasasa naambiwa foleni ya magari iko umbali wa kilometa 30 toka eneo la tukio...
  Kwa babu hakuna umeme wala mgawo...
  Kwa babu hakuna mawasiliano ya mtandao wowote,
  Kwa babu ni eneo ambalo ni kama vile linajitawala!
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Pole sana FL1.
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Shemeji upo jamani.mic u.wewe mwombee tu arudi salama huna haja ya kujua tatizo.
   
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Tunamuombea sana Mama wa kwanza, yeye na wengine wote walio katika safari...
  Mungu atawalinda na kuwatangulia katika safari
  watafika salama Loliondo, watapata tiba na watarudi salama
  tuna imani
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Wewe una tafuta ugomvi eenh? kingekuwa kisukari au pumu huwa tunasema kwa urahisi, hayo mengine mmh!
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni yule friend wa dom...Kifua huwa kinamsumbua ..aliniomba sana nikamwambia asubiri lakini akaona kama namchelewesha mwaya .
  Umepotea
   
 16. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  safari sio kifo a atarudi
   
 17. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tupo pamoja wakati huu mgumu ambapo unangojea kupata taarifa njema kutoka kwake
   
 18. maichrim

  maichrim Member

  #18
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Usihofu atarudi. Amekwenda safari ya imani pia wewe wapaswa kuamini!!!
  Hata hivyo hakuna reported issue yoyote ya watu wanateseka mbali na foleni.

  Polee
   
Loading...