Hofu kubwa ya ugonjwa wa Corona Uingereza, Watakaosafiri nje ya nchi kwa ajili ya mapumziko (holiday) kupigwa faini ya pauni 5,000

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,206
4,698
Serikali ya Uingereza yapitisha sheria ya faini ya pauni 5,000 kwa watu wote wataosafiri nje ya nchi hiyo kwa ajili ya mapumziko.

Sheria hiyo itaanza kutumika (England) kuanzia wiki ijayo kutokana na hofu ya kuibuka upya kwa wimbi la ugonjwa wa corona

Sheria hiyo imeanza kulalamikiwa na watu wengi wakidai inawanyima uhuru wao wa kikatiba

More details on BBC

A £5,000 fine for anyone in England trying to travel abroad without good reason is due to come into force next week as part of new coronavirus laws.

The penalty is included in legislation that will be voted on by MPs on Thursday.

Foreign holidays are currently not allowed under the "stay at home" rule which ends on Monday.

From next week the ban on leaving the UK will become a specific law, backed up by the threat of the fine.

Under the current plan for easing restrictions, the earliest date people in England could go abroad for a holiday would be 17 May.

However, another surge in Covid cases in continental Europe, as well as the slow rollout of vaccines across Europe, has cast doubt on the resumption of foreign travel.

Health Secretary Matt Hancock said restrictions on travelling abroad were necessary to guard against the importation of large numbers of cases and new variants which might put the vaccine rollout at risk.

Shadow Cabinet Office minister Rachel Reeves told BBC Breakfast that Labour supported measures to keep the UK's borders secure and avoid the importation of new variants but said the government's "slowness to react" had contributed to the country's high death rate.
 
Sasa kuna vuguvugu la maandamano ulaya la kupinga lockdown baada ya kutangazwa kutakuwa na wimbi la tatu la Covid.

Nchi kama Germany,UK,France nk kazalika zimeandamana (tar 20/3/21) kupinga lockdown,UK watu 30 walikamtwa.
 
What a political disease

Ukiichunguza corona vzr unaona kabisa ni agenda za watu na wajinga wajinga ndo wanaipamba ila mtu anayeweza kufikiria vzr bila kuwa brainwashed na hana ushamba wa kusupport trend za kijinga atagundua corona ni ugonjwa ulioletwa kimikakati sana...

Hata huu upuuzi wa kuvaa barakoa,ukiwaangalia wavaa barakoa unawaona wanafanya biashara kichaa tu na kufuata trend ila hamna lolote la maana utalipata kwa kuvaa barakoa zaidi ya kujikinga 0.1% or less

Wao wenyewe wadhungu wanaingia barabarani kila siku kupinga upuuzi haya machanjo yote hayo bado hamna lolote why vaccine sasa??

Huna kisukari, huna kansa, huna pumu hujazeeka upo busy kuogopa corona badala ya kula vizuri na kufanya mazoezi.

Jamii za kiafrica wasomi ndo wajinga kuliko wasiosoma yaani wasomi wao ni ku gooogle tu wakiona Ulaya wanazungumzia chanjo basi nao wanakuja na mawazo ya ku copy na ku paste. Watasumbua weeeeee watavaa barakoa lkn kukaa chini na kuanza kureasoning how barakoa itatuokoa na corona ndio hawawezi

Ni bora hata hizi social distancing zinaweza kusaidia mara elfu kuliko barakoa. Ukiwakutaa sasa wanapost takataka zao utadhani wanajua hata kufikiria kumbe wame copy copy huko hawana mawazo binafsi kabisa

Tutakufa tutakufa hivi kwa misongamano tuliyonayo Tanzania kama corona ingekuwa ni ugonjwa wa maana si tungekuwa tunazika kila mtaa.

Saivi kibabu cha 60 kikifa corona, akigongwa mtu na gari corona akifika mtu na matatizo ya moyo ya miaka 10 corona na Hao ndio wasomi wetu.
 
Back
Top Bottom