Kifo cha CCM hakiwezi kuepushwa na Kagasheki na Prof Muhongo. CCM kama chama wamechelewa sana kuchukua hatua. RADAR, EPA, BUZWAGI, MEREMETA, RICHMOND, MAJENGO PACHA BOT, MABILIONI YA USWISI....
Kifo cha CCM hakiwezi kuepushwa na Kagasheki na Prof Muhongo. CCM kama chama wamechelewa sana kuchukua hatua. RADAR, EPA, BUZWAGI, MEREMETA, RICHMOND, MAJENGO PACHA BOT, MABILIONI YA USWISI....
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kineingiwa na hofu kubwa kufuatia utendaji wa baraza jipya la mawaziri ambao kwa kiwango kikubwa uteuzi wake ulitokana na hoja za CHADEMA kuhusu utendaji mbovu wa baadhi ya mawaziri vijana.
Hata hivyo wana nchi walio wengi sasa wamerudisha kwa kasi imani yao kwa serikali na wana matarajio makubwa hasa Mhe. Muhongo Mh Tibaijuka, Mh. Mwakyembe na Mh Kagasheki.
Wakazi wa Kibaha ndo walitoa mpya juzi baada ya kukili kuwa itakuwa ni kichekesho kuitoa CCM madarakani na kumfanya Magufuli na Muhongo warudi nyumbani eti sasa Sugu la Lema ndo wawe mawaziri. Lakini wachambuzi wa CHADEMA wamekuwa wakisema kuna udhaifu mwingine wa CCM ingeachwa ili utumike wakati wa Uchauzi vinginevyo ni kuwaamsha CCM
per dm imeingia leo
1. Daraja la kigamboni
2. Mabasi yandayo kwa kasi
3. Barabara nzuri zinajengwa
4. Hospital mpya itakayo malizika mwaka 2014 ya kimataifa ambayo itakuwa na kiwanja cha ndege.
5. Katiba mpya
6. Vitambulisho vya uraia
7. Miradi ya gesi
8. Mpaka wa Malawi na TZ
Na mengine mengi tu.
Hata ukibeza sisi tunaona
Nomba tuwatie moyo viongozi wetu wanajitahidi sana.
sema yote usemayo lakini Chadema itabaki kuwa chama cha upinzani ili kukosoa serikali.
Sina mda wa kujibishana na wewe mkimbizi.1.Daraja la Kigamboni litakuwa linahudumia Watanzania wangapi? Tanzania inao watu zaidi ya mil.40 halafu wewe unaagalia utendaji wa serikali kwa daraja la Kigamboni? Sijui ulitaka kusema nini lakini ni wazi watu wanateseka na miundo mbinu mibovu. Watato wanauawa na wanayama pori wakiwa wanatembea mwendo mrefu kwenda shule, wanauawa na mafuriko kwani hmana madaraja kwa uchache.
2.Barabara nzuri zenye viwango duni ambazo baada ya muda zinafanyiwa ukarabato mkubwa kwa pesa za walipa kodi. Wanaoharibu ni viongozi na wapambe wao ambao wanapitisha tracks wanazomiliki wao na wapambe wao badala ya kujenga reli na kouboresha zilizopo. Barabara nzuri waulize Kenya na Ethiopia
3. Mabasi yaendayo kwa kasi-soma number 1 nshakujibu
4. Huitaji kujibiwa maana hiyo ni kujenga kasiri angani tena unaema ya kimtaifa sio ya wananchi ambao hawwezi kumudu panadol
5. Katiba Mpya- Watanzania sio zezeta tunajua ni chama/vyama vipi vimepiga kelele mpaka CCM waka surrender. VIZA CDM, CUF na wanaharakati
Mengine ni pesa yetu na mengine hayatekelelezeki
Kifo cha CCM hakiwezi kuepushwa na Kagasheki na Prof Muhongo. CCM kama chama wamechelewa sana kuchukua hatua. RADAR, EPA, BUZWAGI, MEREMETA, RICHMOND, MAJENGO PACHA BOT, MABILIONI YA USWISI....