Hofu kubwa vikao vya CCM; huenda wanachama sita maarufu ndani ya chama hicho nchini wakatimuliwa!

shetani mjanja sana atawaumbua na kuwatawanya wao kwa wao watasambaratika
ukombozi waja. watathubutu kumtimua sita,nape,lowassa?
 
Inavyoonekana watamshusha cheo Nape Nnauye au kuupa Ubunge na CC awe Mjumbe asiye na Madaraka

Yuko kasi zaidi ya hivyo Vizee vya CC Malecela 85ysOld, Msekwa 87yrsOld, Kingunge 90yrsOld, Mwinyi 88yrsOld,Mkapa 76yrsOld, na wengi wengine

Possible huyu ni one of the victim, na kuna uwezekano mkubwa alipata barua ndiyo maana akaugua ghafla na kushindwa kwenda Arusha kwenye kesi ya kutoa hukumu ahead of a judge. Namshauri asihofu sana kwa rika lake atafaa sana kuimarisha safu ya upinzani. Kwa kuwa hana kashfa ya wizi wa mali ya umma atakubalika vizuri sana upinzani. Mimi huwa namuona huyu bwana kama vile Leon Messi akiichezea Simba, ni lazima uwezo wake ufifie na kuonekana hana kipaji. Samahani wapenzi wa Simba kwa mfano huu.
 
Ningewaelewa ikiwa watajadili kwa kina mustakhbali wa Mwakyembe,na Mwandosya wamefikaje hapo walipo. Na pia wataua watanzania wangapi wanaotaka mchakato safi wa Katiba. Tatu lini Mkapa atapelekwa kwa Ocampo kwa kuua watanzania wengi huko Pemba na kusababisha wakimbizi.damu yao ipo juu yake na kizazi chake chote ndani na nje ya CCM. Pia watueleze ndoa yao haramu na CUF inazaa mtoto haramu mwenye tabia zipi? mwisho TANGANYIKA YETU inarudishwa lini?
 
Labda sita amekwenda kupanga mipango na mshirika wake jinsi gani watasave nyadhifa zao ktk CC. Mh mawazo yangu tu.
 
Back
Top Bottom