Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,417
- 7,609
Lisu amekiri mwenyewe, haki isipotendeka hakuna neno (kumwachia Mungu)WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake
Uongozi wa Magufuli mnasema umenunua ndege, umejenga fly over, umejenga viwanja vya ndege Chato, umewasamehe wakina Lugola ubadhirifu, umejenga meli, umejenga barabara, umefanya maendeleo kedekede, tunachohitaji nendeni mkawaeleze wananchi mliyoyafanya wawape tena 5 nyingine. Lakini kutegemea Lissu asigombee tume CCM haiwezi wasaidia.
Sisi tunaenda na Lissu tuu, na CHADEMA tunamuhitaji Lissu heri tushindwe tupigwe mabomu tukiwa na Lissu, kama mnahitaji chama kife msimpitishe Lissu kuwa mgombea wenu
Nawatahadharisha tu CCM, Lissu sio kondoo kama mzee Lowassa anajua kuidai haki.