Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

Ila haya matukio sasa too much aisee.
Mbona watz wanafyatuka akili namna hii.

Sasa huyu mwamba wanunuzi wana kosa gani wakati ye bifu lake ni yeye na benki.
 
Wamefariki kwa kugongwa na lori

Lori latumika kama "silaha'' kushambulia watu katika eneo la Tungi Kigamboni jijini Dar es Salaam Tanzania na kupelekea walinzi 2 kupoteza maisha huku watu wengine watano kujeruhiwa.

Mtuhumiwa wa mauaji aliondoka na lori lenye trela kisha baadaye kurudi kwa kasi kubwa kugonga uzio ktk eneo hilo na kusababisha maafa hayo.
 
Lori latumika kama "silaha'' kushambulia watu katika eneo la Tungi Kigamboni jijini Dar es Salaam Tanzania na kupelekea walinzi 2 kupoteza maisha huku watu wengine watano kujeruhiwa.
Sheria ya USALAMANI inasemaje kuhusu gari kugonga Watu huko Tanzania
 
Wanaume wa Dar acheni uoga bana 🤣
Haya fanyeni masihara. Wazee wa kazi Taliban wameishatua Uganda. Wanasaveisavei kuangalia mazingira mazuri ya kuanzia kazi!! Daladala itakuwa inasafiri tupu toka Mbagala mpaka Kariakoo. Mtaziogopa daladala kama ukoma!!
 
Back
Top Bottom