Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Ustrong umetusaidia nini mpaka sasa maana hizi ni zama za kutumia akili siyo nguvu.Asia haina viumbe strong kama Africa
Asia imefanya maajabu ya kiuchumi katika karne hii kuanzia China, Singapore, Dubai na nchi kibao tu