Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Tulikuwa naye. Usimsahau Hayati Magufuli. Tulikuwa tunaelekea huko. Basi tu Mungu katuonjesha utawala unaothamini binadam wenzake. Mungu ambariki Magufuli huko aliko. Aturehemu tupate viongozi wenye vision kama yeye.
Amina! Sasa hivi tunaona tofauti ya utawala bora na bora utawala.
 
Tulikuwa naye. Usimsahau Hayati Magufuli. Tulikuwa tunaelekea huko. Basi tu Mungu katuonjesha utawala unaothamini binadam wenzake. Mungu ambariki Magufuli huko aliko. Aturehemu tupate viongozi wenye vision kama yeye.
Huyu aliyewajengea viongozi wastaafu majumba ya mabilioni wakati kuna sehemu kuna uhitaji wa pesa hiyo zaidi.
Mimi sijaona kiongozi ambaye ana moyo wa dhati kabisa wa kuendeleza taifa na ambaye ni mzalendo kweli.
Uzalendo unaambatana na kubana matumizi kujiepusha na matumizi ya ovyo, lakini nilishuhudia misafara ya magari mengi sana enzi hizo mpaka ya wakuu wa wilaya. Nchi hizi maskini tunachoma sana pesa kwa mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Pia ili nchi iendelee inabidi serikali ikubali ukweli siyo idanganye na kupika takwimu kama zile za ndani ya miaka kadhaa vimejengwa viwanda 3000 kumbe wanahesabu mpaka cherehani kwa fundi Ally. Hivi uongo kama huu kama siyo milleage ya kisiasa utasema kweli watu wana nia ya dhati ya kutupeleka juu au lengo ni kuzidi kubaki madarakani.
Uzalendo watu wanaongea tu jukwaani yani wanaongea maisha ambayo wao hawayaishi.
 
Makala yako ni parochial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
Kumbuka hapo kuna mmoja bado yupo gizani. Na wenzie wameisha toka kwenye giza ila wanaitaji huyo aliyepo gizani abaki huko huko ili wao waendelee kunufaika na resources zake.
Labda angesema Issue sio population, issue ni kuogopa waafrika kufumbuka macho, issue ni kuogopa wao kupoteza original race yao(black kwenda kuzaa na race zao) nk
 
Wazungu wanahofia sana waafrika wanavyozaana bila mpangilio. Na sio sasa hivo nimeandika miaka hamsini au mia ijayo Africans watakuwa wengi duniani kupita races nyingine tukiendelea hivi kuzaana. Hizo ni tafiti mkuu fuatilia. Hii ni vita ya chini chini kati ya mtu mweusi na mweupe ni Races na kuongezeka kwetu kwa kasi ndo tishio kwao.
tunasema Africa ndio soko lao, inakuache tena wa control population badala ya ku encourage tuzidi kuzaliana? inaonekana hujui sababu za wao ku control population in Africa.
 
tunasema Africa ndio soko lao, inakuache tena wa control population badala ya ku encourage tuzidi kuzaliana? inaonekana hujui sababu za wao ku control population in Africa.
We unavyoona wana encourage population? Fanya tafiti wanawake wangapi wameathirika na vidhibiti mimba.
 
Makala yako ni parochial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
Kasi ya china na Africa kwenye kuzaliana kwa sasa inalingana?
 
soma na kutoa mifano haindani na maudhui
Asipofanya hivyo, utajuaje anaijua, parochial? Ndiyo maana CIA inafanya reshuffle na restructuring kwa sababu siku hizi imekuwa rahisi ku debug " assets" wao. Waliboronga mahali. Mifano ni kama hii.
 
Nyie msioweza kujenga matundu ya vyoo kwa watoto wenu wa shule ndio muwe tishio kwa watu wanaochunguza maisha sayari nyingine huko? Huu ulevi wa kahawa umewazidia naona
Ni dhana tulijengewa na Wazungu kuwa hatuwezi kitu. Ila amini hata hapa Tanzania kuna Familia zakawaida kabisa tu zinamiasha mazuri sana kupita hata familia za kizungu. Pia kuna waafrika wana akili kuliko unavyodhani. Malkia wa uingereza alifanyiwa operation na Kamuzu Banda mwafrika hapo jirani yetu. Ni ushamba sana na kujiaibisha kujiona we mwafrika ni takataka.


Ukiona mahali unapingwa sana au haukabaliki bila sababu jua kuna kitu unawazidi. Ni juhudi zako kujua wanateseka na nini juu yako.
 
Ni dhana tulijengewa na Wazungu kuwa hatuwezi kitu. Ila amini hata hapa Tanzania kuna Familia zakawaida kabisa tu zinamiasha mazuri sana kupita hata familia za kizungu. Pia kuna waafrika wana akili kuliko unavyodhani. Malkia wa uingereza alifanyiwa operation na Kamuzu Banda mwafrika hapo jirani yetu. Ni ushamba sana na kujiaibisha kujiona we mwafrika ni takataka.


Ukiona mahali unapingwa sana au haukabaliki bila sababu jua kuna kitu unawazidi. Ni juhudi zako kujua wanateseka na nini juu yako.
Onyesheni kwa vitendo kuwa mnaweza sio blabla za maneno.
 
Habari za muda huu wadau wote wa Jf!

Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa katika bara hili.

Nitazungumzia mipango miwili mikubwa ambayo imefeli wa kwanza ni uzazi wa mpango.

Uzazi wa mpango kwa Afrika umefeli kiasi kikubwa sana, Wazungu walidhani wangeweza kucontrol African population kwa kutumia uzazi wa mpango na kuwaminya viongozi wetu kuhakikisha uzazi wa mpango unafanya kazi pia kuwapa conditions kali za kuwafanya watu wasizaane hasa mimba za mapema. Pia walileta organizations mbali mbali kuhakikisha wanafuatilia population ya Africa kwa umakini, Organizations ambazo hata sasa baadhi bado zipo hata Tanzania. Pamoja na hilo walihakikisha uzazi wa mpango unawafikia wa Africa upesi sana na bure au kwa gharama nafuu hii yote ni kucontrol population ya waafrica.

Njia ya pili ilikuwa ni kuwagombanisha Waafrica. Yaani kuwapa support waasi na kuanzisha mapigano dhidi ga serikali kuu. Waliiamini Taifa lenye mali kama mafuta, dhahabu na almasi yatakuwa ni mataifa imara siku moja na yenye watu wengi. Hivyo walitumia njia hizi ambazo kwa sasa zinaenda zikiisha nguvu kwa kasi kubwa sana.

Mfano Congo ambao wamepigana mda mrefu na sasa mapigano yakienda kutulia baadhi ya sehemu. Na pia Congo kukataa uzazi wa mpango nchini kwao nakusema watu wazaane nchi bado ni kubwa mapori ni mengi.

Wazungu waliona jambo hili mapema sana kwao wakadhani watamwadaa mwafrika katika maisha yao yote sababu hana uwezo wa kufikiri.

Kwanini Population ya waafrika ni tishio ulaya?

Population ya waafrika ni tishio kubwa sana Katika nchi za ulaya. Hii kwamba wanaamini ndani ya miaka hamsini ijayo hadi mia basi sehemu kubwa ya dunia itakuwa inatawalia na waafrika.

Pia wamekuwa na hofu kubwa sana juu Race yao na kupotea kwa origin yao. Hii ni kutokana na dhana yao ya "Civilisation" kwamba mtu aliye elimika basi kuwa na mtoto mmoja au wawili.

Sera hii ambayo kwa sasa imewafanya nchi zao kuwa na wazee wengi na vijana wachache ambao wanazaa watoto wachache tena uzeeni au mwanzo wa uzee.

Wakati Afrika ni ngumu sana kumkuta mwanamke wa miaka 28 hana mtoto. Tafiti zilizofanyika na shirika la watoto duniani. Mwaka 2019 zilisema katika nyumba kumi za waafrika, kuna watoto kumi hadi kumi na tano wenye umri chini ya miaka nane, pia katika nyumba hizi kumi ni nyumba mbili ambazo unaweza kuta hamna watoto maani ni asilimia 20 tu. Wewe pia unaweza fanya tafiti hii ndogo hapo mtaani kwako.


Ongezeko la waafrika limekuwa ni hofu kubwa sana kwa mataifa ya Ulaya kama nilivyosema hapo awali. Hii ni kutokana na waafrika wengi kuondoka nchini mwao au barani mwao kwenda kutafuta maisha Ulaya na nchi za magharibi. Wakifika huko waafrika wamekuwa na utamaduni ule ule wa kuzaa na kuendelea kuongezeka hata huko walipo na kufanya wazidi kuendelea kuongezeka kwa kasi.

Wikipedia inasema hivi,


Since the 1960s, the main source countries of migration from Africa to Europe have been Morocco, Algeria and Tunisia, resulting in large diasporas with origins in these countries by the end of the 20th century. In the period following the 1973 oil crisis, immigration controls in European states were tightened. The effect of this was not to reduce migration from North Africa but rather to encourage permanent settlement of previously temporary migrants and associated family migration. Much of this migration was from the Maghreb to France, The Netherlands, Belgium and Germany. From the second half of the 1980s, the destination countries for migrants from the Maghreb broadened to include Spain and Italy, as a result of increased demand for low-skilled labour in those countries.[8]

Spain and Italy imposed visa requirements on migrants from the Maghreb in the early 1990s, and the result was an increase in illegal migration across the Mediterranean. Since 2000, the source countries of this illegal migration have grown to include sub-Saharan African states.[8]

During 2000–2005, an estimated 440,000 people per year emigrated from Africa, most of them to Europe.[9] According to Hein de Haas, the director of the International Migration Institute at the University of Oxford, public discourse on African migration to Europe portrays the phenomenon as an "exodus", largely composed of illegal migrants, driven by conflict and poverty. He criticises this portrayal, arguing that the illegal migrants are often well educated and able to afford the considerable cost of the journey to Europe.

Migration from Africa to Europe, he argues, "is fuelled by a structural demand for cheap migrant labour in informal sectors". Most migrate on their own initiative, rather than being the victims of traffickers. Furthermore, he argues that whereas the media and popular perceptions see irregular migrants as mostly arriving by sea, most actually arrive on tourist visas or with false documentation, or enter via the Spanish enclaves, Ceuta and Melilla. He states that "the majority of irregular African migrants enter Europe legally and subsequently overstay their visas".[8] Similarly, migration expert Stephen Castles argues that "Despite the media hysteria on the growth of African migration to Europe, actual numbers seem quite small – although there is a surprising lack of precision in the data".[10]

According to the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), migration from African countries to more developed states is small in comparison to overall migration worldwide. The BBC reported in 2007 that the International Organization for Migration estimates that around 4.6 million African migrants live in Europe, but that the Migration Policy Institute estimates that between 7 and 8 million illegal migrants from Africa live in the EU.[11]


Kwa sasa Tafiti zinasema kwamba kwa siku waafrika zaidi ya elfu kumi wanahamia Ulaya kwa njia ambazo sio halali. Hii ni kila siku unayoiona wewe waafrika elfu kumi wanavuka Mediteranian sea kwenda ulaya.
Kumekuwa na njama nyingi za kuwaua waafrika hawa na kusema boat zao zimezama watu kadhaa wamefariki ila ukweli kuna jambo nyuma ya pazia. Nadhani wachangia hoja wataweka baadhi.

Ukweli ukitafakali sana mwendo anaoenda nao mwafrika ni kweli ipo siku hii Race itakuwa ni race yenye nguvu duniani sio kwa Teknolojia au Elimu bali kwa wingi wao. Miaka inayokuja viongozi wa mataifa ya ulaya tusishangae kuona ni wamatumbi. Kama Tulivyoanza na USA na amini ipo siku itakuwa duniani kote.


Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.
Uliyopost ni kweli kabisa Misss Chuga
Lakini pia njia nyingine wanazotumia ni chanjo.
Bill gate - jambazi kuu - aliwahi kusema kuwa "Tukifanya vema katika chanjo, tutaweza kupunguza population ....

Conclusion yako ni poa sana, kwamba:
//Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.//

Tatizo ni kuwa viongozi wengi wa Africa wako tayari kunyenyekea wazungu kwa sababu ya vijisenti, kiasi kwamba wako tayari kutoa sadaka waafrika wenzao. Mungu anawaona.
 
Uliyopost ni kweli kabisa Misss Chuga
Lakini pia njia nyingine wanazotumia ni chanjo.
Bill gate - jambazi kuu - aliwahi kusema kuwa "Tukifanya vema katika chanjo, tutaweza kupunguza population ....

Conclusion yako ni poa sana, kwamba:
//Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.//

Tatizo ni kuwa viongozi wengi wa Africa wako tayari kunyenyekea wazungu kwa sababu ya vijisenti, kiasi kwamba wako tayari kutoa sadaka waafrika wenzao. Mungu anawaona.
Ni kweli waafrika tuna ubinafsi sana, na akishapata uongozi ndo basi anajiona Mungu mtu.
 
Kwani mtu kukuletea uzazi wa mpango anakuwa hana nia njema na wewe? Sijajua we ni jinsia gani ila kama ushawahi kuona madhira yanayowakumba wazazi waliacha kutumia uzazi wa mpango basi utakubali kuwa kila kwenye ubaya kuna chembe chembe za wema.
 
Back
Top Bottom