Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,424
2,000
Naona wachache watakuelewa unachokimaanisha....

Naomba nikazie, AFRICAN RACE IS THREAT TO WHITES.

Race yeyote ikizaa na mwafrika lazima kiumbe kiwe black, hii kitu inawatesa sana.

Huo ni ukweli usipingika, na tishio lipo kwenye kufutika kwa race yao na si katika nyanja zingine.

Enzi za ukoloni ndio maana wazungu hawakuwa wanaleta wanawake Africa.

Race zingine kama waarabu, wahindi mpaka leo wamepiga marufuku wanawake zao kuolewa na waafrika, yani ukienda kwa mwafrika wanakupiga ban ya maisha, unatengwa kabisa.

Kingine kinachowatisha ni jinsi waafrika wanavyozaliana kwa wingi. Yani kuzaa kwao ni culture yao na wameipa kama priority, yani mtu akifikisha umri fulani hata kama hajaoa/kuolewa ataamua bora azae tuu, tofauti na mataifa mengine ambapo raia zao tayari kuzaa sio priority yao.

Unforgettable
 

Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
784
1,000
wale wenye undugu na wazungu, ama waafrika wapumbav, watakuja hapa kukutukana na kukukosoa,

sio wazungu tu, hata mataifa ya Asia hushirikiana na mataifa ya magharib na USA kuigandamiza afrika, lengo kuu la kugandamiza ni kucontrol population na ulaji wa resources za afrika, wanajua kuwa materials zao nying hutolewa huku, na mali nyingi hutoa uku ili kuendesha nchi zao, pia afrika ni dampo kuu la bidhaa zao feki, ambapo bila afrika baazi ya viwanda vyao vingekufa kabisa, bila afrika masoko ya simu&computer yangekuwa magumu sana, kuanzia vifaa vya uundaji mpk masoko ya computer&simu za hovyo kuwa mashakani.

sera za wachina znawataka kuwa na mtoto mmoja, lkn sahiv wamebadir, hapo awali ilikuwa wakituma baazi ya vijana wao wakiume kuja afrika kufanya kaz maisha yao yote, na ili lilikuwa lengo la kuzaa na wafrika ili kuleta species mpya za machotara ya kichina ambayo baadae yangekuwa kama wachina wenye jamii mbili, ama wachina wapya ktk bara la afrika(watawala wapya), ili nalo limesaidia ku push mahusiano ya china na afrika, kwa bahat mbaya hile lengo nalo lilifeli.

kwa hao watu weupe wa magharibi, hawa ndio wana penda kucontrol Afrika kwa mabavu na roho mbaya, kuliko watu wa Asia ambao hutumia akili kwenye ulaji baran afrika,

watu wa magharib&USA wao hupenda kutumia ubabe kuikomoa afrika na kuicontrol kupitia,
vikwazo vya kiuchumi
magonjwa feki& tiba zake
mikopo umiza
dini zote
elimu uchwara
siasa ya demokrasia
vita vya wenyewe kwa wenyew& makundi ya ugaidi
utegemezi kwnye technology & mawasiliano
hizi zote ni baazi ya njia hutumiwa na mataifa ya magharibi kuinyonya na kuikandamiza afrika, lkn ukwel unabaki pale pale, ni vigumu kuiharibu asili ya ulimwengu huu, mtu mweusi anatambuliwa na nguvu za asili znazoiongoza dunia kwa miaka yote, kwa hiyo inakuwa ngumu kumpoteza ktk ramani mtu mweusi.

ndiomaana nguvu hizo za asili zmkekuwa zikiwashawish watu weusi kutawanyika dunia nzma kwenda kuish huko, kuzaa na wenyeji wa huko, ili kupata uzao wao, na huu uzao , utakuwa ukivifuta vizaz vya white races taratibu, ili kuurudisha uzao wa asili, ambao ni mweusi, haya yanafanyika chini ya sheria za asili za dunia kujisafisha kwa kuondoa takataka za viumbe visivyo vya asili, na hii haifanyik kwa wanadamu tu, bali hata kwa mimea na wanyama walio tengenezwa kwa mchanganyo wa mbegu, mfano makuku ya kisasa, ngombe, mbwa,paka, mimea ya mashambani nk.

mtu mweusi ni lazma aenee dunia nzma na kuijaza kama sheria za ulmwengu znavyomcomand, ndiomana imekuwa ngumu kumzuia, we fikilia tu uko mataifa ya uarabuni kuna kila aina za ukatili na unyanyasaj lkn watu weusi wamekuwa wabishi hawaachi kwenda, miaka yote wanaongezeka, ili nalo ni kwazo kwa watu weupe

kwa msiojua ni kuwa, njama za kumuangamiza mtu mweusi hazijaanza leo wala jana, zmeanza karne nying, ni vile tu historia za vitabu vyao zmeficha mambo, znawaeleza hadith za uongo, mfano history ya afrika yaanzia ktk utumwa, lkn B.C hawaelez kitu kuhusu afrika, haya yote wanajua kuwa mtu mweusi alishawai tawala dunia nzima, na njma zilifanyika kuibomoa ngome za afrika kwa kuzipunguza nguvu, afrika imekuwa ikivamiwa mara nying sana hata kabla ya utumwa, afrika ilivamiwa na watu weup,.lkn walkuwa wakshindwa, mpka pale nguvu za asili zliporuhusu afrika itawaliwe na kupelekwa utumwani kwa miaka400 kwa sabbu yao kuvunja sheria za asili, ikiwa kama azabu ,lkn baada ya muda itajirudi kama mwanzo na kutawala dunia.

watu weupe wote walijarbu kuiangamiza afrika kupitia mambo mengi sana, walianza wazaz wao (alien/fallen Angels) kwa kuleta species mpya za wanyama na wanadamu(white races) ili kufuta viumbe vya asili na kuleta maviumbe ya kisasa ambayo yangekuwa yakitawala pamoja na wanadamu(machotara)

viumbe hao walioletwa il kufuta uzao wa asili ni kama , wanyama wakisasa wafugwao, mimea yote ya kisas, wanyama wa porini mfano manyani, masokwe, mijusi wa kubwa wale dinasor, samaki wakubwa ,hawa wote walikuja ili kuangamiza uzao wa asili ,kwakuwa hawa viumbe wapya walikuwa wakubwa sana basi waliweza kuangamiza viumbe wa asili kiwepes, machotara hao hawakuwa wanyama tu bali mpka wanadamu wakubwa sana(nephilims) ambao ndio chimbuko la uzao wa watu weupe wote dunian,.

hawa viumbe wa asili walipotea baazi baada ya dunia kujisafisha kupitia mafuriko, ambayo ktk stori za vitabu vyao vya dini wanaita gharika la nuhu, uzao wa viumbe wakubwa ulifutika wote, isipokuwa viumbe wadogo ambao ndyo hawa watu weupe wote wanaojarbu mpka leo kuikandamiza afrika kwa kuficha na kuibadiri historia ya dunia, magonjwa ya kutengeneza, na mambo mengi ya hovyo.

Afrika lazma itarud ktk ubora wake, na hili kinafanyika chini ya nguvu za asili za Muumba wa kwel(sio hao miungu wenu wa dini), MUUMBA huyu ndye anayeiongoza dunia kupitia misingi ya sheria zake alizoziweka ili kubalance nature ya maisha bila uarbifu wa mazingira& viumbe,

ndiomaana sheria hizo zivunjwapo huleta negative effects as a results kwa mtu, kwa wazivunjao, sheria hizo ni kama, kutunza mazingira&viumbe hai, sheria za kitamadun, miiko, amri za Muumba kwa watu znazowaongoza kuish vzur ktk jamii mfano, usiue, usitamani chamtu, usiibe, muabudu Muumba wa kweli tu, usizini na mke wa mtu, haya yote yapo kto sheria za asili alzopewa mtu mweus pale alipoumbwa,

Ndizo hizi , hiz sheria hutumiwa na tamaduni zote za mtu mweusi dunia nzima, tangu kale,mpka sasa maana asili bado ipo ndan yao, na pale watu weusi walipozvunja ndpo uzao wa haya mademon na mitoto yao yakaja(mapepo, majini, watu weupe wote,) hawa wote ni zao la uvunjwaji wa sheria kwa mtu mweusi...
FB_IMG_16335417473229620.jpg
 

and 100 others

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,767
2,000
Afrika vizazi vyetu vipo Karibu Sana, ni gusa unate...
Kutuchukua utumwani miaka 500 ilichangia kupunguza saana population...
Wazungu wanajifunza kwa China, so lazima watuwahi, pia viongozi wetu ni taahira hio inachingia pakubwa kufanikisha agenda zao...
 

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
500
Makala yako ni parichial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.

Duh !!!! jamani tuwe tunasoma na kuelewa kilicho andikwa
Kinacho hofiwa na wazungu ni number of Africans immigration to Eroup na kuzaana huko kwao wakihofia kua Hapa Africa wana zaana na huko kwao wanazaana huenda siku za usoni wakatawala huko kwao
Wazungu hana hofu na wa Asia wala wahindi wala wachina idadi yao ulaya si kubwa kama idadi ya waafrika.
Sasa wewe unamshambulia mleta mada wakati hujaelewa soma na kutoa mifano haindani na maudhui
 

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
765
500
Mada haizungumzii nchi moja naona umegota kwenye chama chako mufilisi. Maelfu ya waafrika wanakimbilia ulaya pamoja na kuwa mamia wanafia baharini lakini wapi! Wako tayari wafie baharini kuliko kuishi Afrika, kwakifupi wengi wanazikimbia nchi zao. Tanzania ni moja ya nchi ambayo inakimbiwa na vijana kwenda Kusini mwa Afrika lakini hatuoni wakitoka huko kuja huku!

Tafuta mwanzilishi iliesababisha waafrika wakimbie afrika na kumfata alie waletea chokochoko nakupa mfano wa Libya iliwahi kutoa misaada kwa nchi masikini za waafrika wanzake bila masharti magumu ni nani ilieipelekea libya fitina na kuiharibu?
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,051
2,000
Habari za muda huu wadau wote wa Jf!

Naomba niandike nakala fupi tu kwa leo ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ukweli ni kwamba Mataifa ya ulaya hata magharibi yamekuwa na hofu kubwa sana juu ya waafrika pamoja na bara lao. Hofu hii inakuja baada ya mipango yao kufeli kwa kiasi kikubwa katika bara hili.

Nitazungumzia mipango miwili mikubwa ambayo imefeli wa kwanza ni uzazi wa mpango.

Uzazi wa mpango kwa Afrika umefeli kiasi kikubwa sana, Wazungu walidhani wangeweza kucontrol African population kwa kutumia uzazi wa mpango na kuwaminya viongozi wetu kuhakikisha uzazi wa mpango unafanya kazi pia kuwapa conditions kali za kuwafanya watu wasizaane hasa mimba za mapema. Pia walileta organizations mbali mbali kuhakikisha wanafuatilia population ya Africa kwa umakini, Organizations ambazo hata sasa baadhi bado zipo hata Tanzania. Pamoja na hilo walihakikisha uzazi wa mpango unawafikia wa Africa upesi sana na bure au kwa gharama nafuu hii yote ni kucontrol population ya waafrica.

Njia ya pili ilikuwa ni kuwagombanisha Waafrica. Yaani kuwapa support waasi na kuanzisha mapigano dhidi ga serikali kuu. Waliiamini Taifa lenye mali kama mafuta, dhahabu na almasi yatakuwa ni mataifa imara siku moja na yenye watu wengi. Hivyo walitumia njia hizi ambazo kwa sasa zinaenda zikiisha nguvu kwa kasi kubwa sana.

Mfano Congo ambao wamepigana mda mrefu na sasa mapigano yakienda kutulia baadhi ya sehemu. Na pia Congo kukataa uzazi wa mpango nchini kwao nakusema watu wazaane nchi bado ni kubwa mapori ni mengi.

Wazungu waliona jambo hili mapema sana kwao wakadhani watamwadaa mwafrika katika maisha yao yote sababu hana uwezo wa kufikiri.

Kwanini Population ya waafrika ni tishio ulaya?

Population ya waafrika ni tishio kubwa sana Katika nchi za ulaya. Hii kwamba wanaamini ndani ya miaka hamsini ijayo hadi mia basi sehemu kubwa ya dunia itakuwa inatawalia na waafrika.

Pia wamekuwa na hofu kubwa sana juu Race yao na kupotea kwa origin yao. Hii ni kutokana na dhana yao ya "Civilisation" kwamba mtu aliye elimika basi kuwa na mtoto mmoja au wawili.

Sera hii ambayo kwa sasa imewafanya nchi zao kuwa na wazee wengi na vijana wachache ambao wanazaa watoto wachache tena uzeeni au mwanzo wa uzee.

Wakati Afrika ni ngumu sana kumkuta mwanamke wa miaka 28 hana mtoto. Tafiti zilizofanyika na shirika la watoto duniani. Mwaka 2019 zilisema katika nyumba kumi za waafrika, kuna watoto kumi hadi kumi na tano wenye umri chini ya miaka nane, pia katika nyumba hizi kumi ni nyumba mbili ambazo unaweza kuta hamna watoto maani ni asilimia 20 tu. Wewe pia unaweza fanya tafiti hii ndogo hapo mtaani kwako.


Ongezeko la waafrika limekuwa ni hofu kubwa sana kwa mataifa ya Ulaya kama nilivyosema hapo awali. Hii ni kutokana na waafrika wengi kuondoka nchini mwao au barani mwao kwenda kutafuta maisha Ulaya na nchi za magharibi. Wakifika huko waafrika wamekuwa na utamaduni ule ule wa kuzaa na kuendelea kuongezeka hata huko walipo na kufanya wazidi kuendelea kuongezeka kwa kasi.

Wikipedia inasema hivi,


Since the 1960s, the main source countries of migration from Africa to Europe have been Morocco, Algeria and Tunisia, resulting in large diasporas with origins in these countries by the end of the 20th century. In the period following the 1973 oil crisis, immigration controls in European states were tightened. The effect of this was not to reduce migration from North Africa but rather to encourage permanent settlement of previously temporary migrants and associated family migration. Much of this migration was from the Maghreb to France, The Netherlands, Belgium and Germany. From the second half of the 1980s, the destination countries for migrants from the Maghreb broadened to include Spain and Italy, as a result of increased demand for low-skilled labour in those countries.[8]

Spain and Italy imposed visa requirements on migrants from the Maghreb in the early 1990s, and the result was an increase in illegal migration across the Mediterranean. Since 2000, the source countries of this illegal migration have grown to include sub-Saharan African states.[8]

During 2000–2005, an estimated 440,000 people per year emigrated from Africa, most of them to Europe.[9] According to Hein de Haas, the director of the International Migration Institute at the University of Oxford, public discourse on African migration to Europe portrays the phenomenon as an "exodus", largely composed of illegal migrants, driven by conflict and poverty. He criticises this portrayal, arguing that the illegal migrants are often well educated and able to afford the considerable cost of the journey to Europe.

Migration from Africa to Europe, he argues, "is fuelled by a structural demand for cheap migrant labour in informal sectors". Most migrate on their own initiative, rather than being the victims of traffickers. Furthermore, he argues that whereas the media and popular perceptions see irregular migrants as mostly arriving by sea, most actually arrive on tourist visas or with false documentation, or enter via the Spanish enclaves, Ceuta and Melilla. He states that "the majority of irregular African migrants enter Europe legally and subsequently overstay their visas".[8] Similarly, migration expert Stephen Castles argues that "Despite the media hysteria on the growth of African migration to Europe, actual numbers seem quite small – although there is a surprising lack of precision in the data".[10]

According to the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD), migration from African countries to more developed states is small in comparison to overall migration worldwide. The BBC reported in 2007 that the International Organization for Migration estimates that around 4.6 million African migrants live in Europe, but that the Migration Policy Institute estimates that between 7 and 8 million illegal migrants from Africa live in the EU.[11]


Kwa sasa Tafiti zinasema kwamba kwa siku waafrika zaidi ya elfu kumi wanahamia Ulaya kwa njia ambazo sio halali. Hii ni kila siku unayoiona wewe waafrika elfu kumi wanavuka Mediteranian sea kwenda ulaya.
Kumekuwa na njama nyingi za kuwaua waafrika hawa na kusema boat zao zimezama watu kadhaa wamefariki ila ukweli kuna jambo nyuma ya pazia. Nadhani wachangia hoja wataweka baadhi.

Ukweli ukitafakali sana mwendo anaoenda nao mwafrika ni kweli ipo siku hii Race itakuwa ni race yenye nguvu duniani sio kwa Teknolojia au Elimu bali kwa wingi wao. Miaka inayokuja viongozi wa mataifa ya ulaya tusishangae kuona ni wamatumbi. Kama Tulivyoanza na USA na amini ipo siku itakuwa duniani kote.


Na waasa sana Waafrika tujichunge sana maana Ongezeko letu sio pendezo kwa mataifa mengine. Chunga uhai wako tuwe wadadisi kwa vitu tunavyoletewa. Pia waafrika wenzangu tuwatunze watoto tunaowazaa kwa kuwalea vyema kwa kufanya kazi kuwalisha ili waweze kuwa imara wenye afya.
Sawa lakini hizi habari zinasaidia Afrika kuendelea? Mbona maisha yanazidi kushuka chini?
 

Kop0

Member
Oct 6, 2021
20
45
Naona wachache watakuelewa unachokimaanisha....

Naomba nikazie, AFRICAN RACE IS THREAT TO WHITES.

Race yeyote ikizaa na mwafrika lazima kiumbe kiwe black, hii kitu inawatesa sana.

Huo ni ukweli usipingika, na tishio lipo kwenye kufutika kwa race yao na si katika nyanja zingine.

Enzi za ukoloni ndio maana wazungu hawakuwa wanaleta wanawake Africa.

Race zingine kama waarabu, wahindi mpaka leo wamepiga marufuku wanawake zao kuolewa na waafrika, yani ukienda kwa mwafrika wanakupiga ban ya maisha, unatengwa kabisa.

Kingine kinachowatisha ni jinsi waafrika wanavyozaliana kwa wingi. Yani kuzaa kwao ni culture yao na wameipa kama priority, yani mtu akifikisha umri fulani hata kama hajaoa/kuolewa ataamua bora azae tuu, tofauti na mataifa mengine ambapo raia zao tayari kuzaa sio priority yao.

Unforgettable
Nimefuatilia sana huu uzi. Ni uzi mzuri sana tena wenye ukweli sana. Ukisoma kwa makini utamwelewa mwandishi vizuri.

Umeandika mkuu vizuri kwa kifupi nadhani ndio lengo la mwandishi. Watu wenye uelewa mkubwa kama nyie ni wachache sana.
 

Kop0

Member
Oct 6, 2021
20
45
Duh !!!! jamani tuwe tunasoma na kuelewa kilicho andikwa
Kinacho hofiwa na wazungu ni number of Africans immigration to Eroup na kuzaana huko kwao wakihofia kua Hapa Africa wana zaana na huko kwao wanazaana huenda siku za usoni wakatawala huko kwao
Wazungu hana hofu na wa Asia wala wahindi wala wachina idadi yao ulaya si kubwa kama idadi ya waafrika.
Sasa wewe unamshambulia mleta mada wakati hujaelewa soma na kutoa mifano haindani na maudhui
Umeelewa kama mimi mkuu. African Race ni hatari sana kwa sasa wametapakaa kila kona ya dunia. Mwafrika hatari hata akipita na zeruzeru wa kizungu balaa lake lipo pale pale.
 

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,885
2,000
Duh !!!! jamani tuwe tunasoma na kuelewa kilicho andikwa
Kinacho hofiwa na wazungu ni number of Africans immigration to Eroup na kuzaana huko kwao wakihofia kua Hapa Africa wana zaana na huko kwao wanazaana huenda siku za usoni wakatawala huko kwao
Wazungu hana hofu na wa Asia wala wahindi wala wachina idadi yao ulaya si kubwa kama idadi ya waafrika.
Sasa wewe unamshambulia mleta mada wakati hujaelewa soma na kutoa mifano haindani na maudhui
Sasa mbona bado wanawapa Visa kama hiyo ndo sababu?
Labda kama wanatuogopa kwasababu tunawapelekea mzigo badala ya ahueni.
 

Misss Chuga

Senior Member
Oct 6, 2021
129
250
Makala yako ni parichial , narrow minded.
Africa population 1.34 bil
China peke yske1.43 bil
India 1.38 bil
Kwanini threat iwe Africa tu wakati Asia peke yake ina 4.6 bil.
Hizo ni data tu. Tumia akili wewe. Unataka mzungu akwambie wewe ni tishio kwake mbele ya alaiki? Akili zenu nyie vi*****hapa unabisha na bado utashagaa wewe mwenyewe wa kwanza kuwaambia watu wakatae chanjo.
 

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,584
2,000
Hizo ni data tu. Tumia akili wewe. Unataka mzungu akwambie wewe ni tishio kwake mbele ya alaiki? Akili zenu nyie vi*****hapa unabisha na bado utashagaa wewe mwenyewe wa kwanza kuwaambia watu wakatae chanjo.
Kupnyesha kuwa kweli thread ni narrow minded, fuatilia data za population migration into Europe and America.
 

Misss Chuga

Senior Member
Oct 6, 2021
129
250
Ongezeko la population Ni kweli ila nyakati za mzungu kumuhofia mwafika bado sana
Wazungu wanahofia sana waafrika wanavyozaana bila mpangilio. Na sio sasa hivo nimeandika miaka hamsini au mia ijayo Africans watakuwa wengi duniani kupita races nyingine tukiendelea hivi kuzaana. Hizo ni tafiti mkuu fuatilia. Hii ni vita ya chini chini kati ya mtu mweusi na mweupe ni Races na kuongezeka kwetu kwa kasi ndo tishio kwao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom