Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,205
- 3,054
wenyeji nikaribisheni baaac!!!
haya mapokezi ni makubwa daaah hadi wewe mkuu mbona mimi hukunipokea?karibu,
lugha za sms si nzuri, badala ya baaac ungeandika 'basi'.
Utaendelea kukumbana na mengi, mazuri na mabaya, ujasiri ni kusimama imara ktk yote
haya mapokezi ni makubwa daaah hadi wewe mkuu mbona mimi hukunipokea?
Wewe hukuandika lugha ya sms...haya mapokezi ni makubwa daaah hadi wewe mkuu mbona mimi hukunipokea?