likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,403
- 6,071
habari bandugu, mimi ni mgeni..... naamini nitanufaika mengi kupitia ninyi
asante
asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pita ndaniiiiiii
Njoo badae wenyewe tuna futuru
Karibu mpaka mezani tupo tunakula.
Utakuwa umetumwa na Mashinji
Umejiunga tangu may 2015habari bandugu, mimi ni mgeni..... naamini nitanufaika mengi kupitia ninyi
asante
habari bandugu, mimi ni mgeni..... naamini nitanufaika mengi kupitia ninyi
asante
Ndy njoo baadae mkuu...usibishane na wenyeji...ushaambiwa tunafuturu hata kama ikiwa ni saa sita mchana...ww njoo baadae mkuu...kwani muda tayari
Duuh kalibu Mzee baba
Mbona una sound kama unazijua njia hivi
Ndy njoo baadae mkuu...usibishane na wenyeji...ushaambiwa tunafuturu hata kama ikiwa ni saa sita mchana...ww njoo baadae mkuu...
EEH! UMEKUJA NA HUKU? EMBU NENDA KATAFUTE LIKES KULEE.
Ana misemo hadi ya kijamii forumMbona una sound kama unazijua njia hivi