hodiiiiiiiii

nkole

Member
Oct 14, 2012
20
9
habari zenu ma bibi na ma bwana,mi jamani ni mgeni hapa nahijati ku share nayi mambo mbalimbali,natanguliza shukran za dhati
 
karibu mgeni, ila hiki chumba ulichoungia huwa wanalala baba na mama, pita barazani kwanza
 
Ingia na uketi jamvini ila sheria za hapa ni kuwa mwangalifu na maneno yako unayotaka kuyasema lasivyo itapata ban.
 
sitaingia chumbani bila ruksa jamani usihofu

huku ulipoingia ndio chumbani kwenyewe, au we huoni baba mwenye nyumba nilivyopozi na mama yeyooo hapa

salimia_bmp.jpg


sexss.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom