MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 193
- 126
Nafurahi kuwa miongoni mwa familia ya JF.Natumai ntapata mengi ya kujenga na kuniimarisha katka nyanja zote.
nimekupenda ghaflaahsanteee
ahsanteKARIBU
akupende zaid alokufanya unipende.nimekupenda ghafla
ilo najua ila wewe unafuata baada yeyeakupende zaid alokufanya unipende.
Safi sana nimeshachungulia profile yako naona utaanifaaakupende zaid alokufanya unipende.
Umechelewa wewe usione vyaelea....ilo najua ila wewe unafuata baada yeye
mtu mwenye KIZIBO ngoja NIKUZIBUEUmechelewa wewe usione vyaelea....
Shauri yako uliza maana yake kwanza! Kuna turuturu mmoja anajiita Clever king na id nyingine kibao ana ujuaji wa kipuuzi ananijua vemamtu mwenye KIZIBO ngoja NIKUZIBUE
one day yeslini utanipikia?
nashkr kwa ushaur wako natumai ntaufanyia kazKaribu sana Jamvini Chef Hadija.Ni matumaini yangu kuwa utatuletea vitu vipya kwa sababu wewe ni mpya humu. Ushauri wangu kwako ni kuwa uwe mpole, msikivu, mnyenyekevu na mvumilivu kwani humu jamvini kuna vichwa vichache vilivyopinda balaa kwa sababu ya michango yao iliyopinda pia. Nakutakia uanachama mwema.