hodiiiii!!

isabella

Member
Aug 22, 2011
23
16
habari za mchana wenyeji wangu

mimi nimgeni nimejiunga jana,naombeni mnipokee.
+yKPDH6V0MzaKYi0xAAAAAElFTkSuQmCC
 
umeshakaribishwa alafu bado unaendelea simama mlangon!INGIA NDANI WEWE!
 
Karibu mwali.... kARIBU MPORA,...... jina lako limenikumbusha wimbo wa sikinde.... Niliishi na isabela nyumbani..... Kama mke na mumeee mola wetu akatujaliua, tukapata mtoto wakiume kwa jina ISAYA..
 
karibu sana mgeni mpaka ndani tafadhali zingatia vigezo na mashariti ya kwenye jamii yetu yaani forum rules..
 
Usiofie jina mbona mimi nipopoa alafu ungejaribu kunitumia namba yako ya csm kwani niliku nahitaji tuwe frends hahahaaaaa!!? Nitakujia night
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom