miskibosho
Member
- Mar 18, 2019
- 30
- 12
Mgeni jamii forum! Mnipokee. Mnielekeze na pa kuweka mabegi
@miskibosho. Karibu jf. Unatokea kibosho sehemu gani?Mgeni jamii forum! Mnipokee. Mnielekeze na pa kuweka mabegi
Unapajua wapi?@miskibosho. Karibu jf. Unatokea kibosho sehemu gani?
Asante sana ulwesoUkiingia tu pita kushoto mita 2 hivi kunja kulia kisha utaona milango mitatu ule wa mwisho paki huko mabegi yako kisha endelea mbele kidogo utatokezea nje ya ua karibu sana
Nishakaribia! Asante ulimakafukaribu sana JF.
karibu sana, kuanzia leo wewe jina lako ni Mkuu.
Asante bomba la mvuakaribu jf mkuu
Asante zamaulidKaribu
Tafadhwal na taadhima.. mlango upo wazi ingia..ila chukuwa tahadhari..Mgeni jamii forum! Mnipokee. Mnielekeze na pa kuweka mabegi
@miskibosho. Karibu jf. Unatokea kibosho sehemu gani?
Unapajua wapi?