Asante sana. Karibu sana jf.Poleni wanajf kwa msiba wa mwanamapinduzi wa afrika Nelson Mandela aliyekubali kuendelea kukaa jela kuliko kuachiwa huru chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa makaburu wa Afrika Kusini.
Poleni wanajf kwa msiba wa mwanamapinduzi wa afrika Nelson Mandela aliyekubali kuendelea kukaa jela kuliko kuachiwa huru chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa makaburu wa Afrika Kusini.
Asante kaka ila mimi si mwanamziki na jk ni president wangu
Poleni wanajf kwa msiba wa mwanamapinduzi wa afrika Nelson Mandela aliyekubali kuendelea kukaa jela kuliko kuachiwa huru chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa makaburu wa Afrika Kusini.