alexandria wetu
Member
- May 9, 2020
- 20
- 16
Hodiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaangalie porus mkuu
Ahsante nilijaribu kujiunga tangu 2017 ila Leo nimefanikishaKaribuu mgeniii
Karibu miss!Hodiiiii
Basi itabidi upewe tuzo ya mzembe wa karne ya 21.Ahsante nilijaribu kujiunga tangu 2017 ila Leo nimefanikisha
Duuh after long wait, pole sana na karibu sana JFAhsante nilijaribu kujiunga tangu 2017 ila Leo nimefanikisha
Alikumbwa na tatizo la mtandao labdaBasi itabidi upewe tuzo ya mzembe wa karne ya 21.
Bado ni uzembe. Huwezi kushindwa na kitu ambacho hakiongei.Alikumbwa na tatizo la mtandao labda