Hodii

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Wenyewe mpoo?mi mgeni jaman naombeni ridhaa yenu..nimechoka kusoma post za watu bila kucomment,.
 
Wenyewe mpoo?mi mgeni jaman naombeni ridhaa yenu..nimechoka kusoma post za watu bila kucomment,.

karibu ila hatutaki ushabiki wa magamba au magwanda,tunahtaji hoja za kujenga nchi yetu!ur welcome
 
pita ndani!usiweke kiwingu mlangoni!wenzako nao wanataka ingia!karibuni nyote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom