M Mama v Member Dec 3, 2012 20 18 Dec 3, 2012 #1 Nimekuwa guest kwa muda mrefu sasa nimeamua kuja rasmi,nipokeeni
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Dec 3, 2012 #2 Karibu sana Mama v jamvini......karibu kiti hapo msubiri Baba V akuletee kinywaji. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chibolo JF-Expert Member Oct 13, 2012 4,974 6,447 Dec 3, 2012 #3 Hapa umekosea mlango jaribu hapo kushoto kwa jirani
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Dec 3, 2012 #4 Chibolo said: Hapa umekosea mlango jaribu hapo kushoto kwa jirani Click to expand... Acha kumpoteza mgeni bhana,karibu mgeni.
Chibolo said: Hapa umekosea mlango jaribu hapo kushoto kwa jirani Click to expand... Acha kumpoteza mgeni bhana,karibu mgeni.