nzuri tu,sijui wewe
asante kwa kunikaribisha
We shangingi au buzi.........??? I mean we ni mwanamke au mwanaume...???Napenda kuwasalimu wote,nafurahi kuwa pamoja nanyi ,nawatakia siku njema
We utakuwa wa mgodini................ anyway, karibuKabla ya kukukaribisha ningependa na mie nidandie hodi yako,mie pia ni mgeni wa JF,nimeamua kuomba lift ili nisiwachoshe wananzengo.Natumaini nimekaribishwa na kupokelewa hivyo nina weza kukukaribisha pia.
Ahsante,
Jack Beur
welcome!
__________________
"bwana yesu ndio mwamba imara na juu yake nimeujenga msingi wa maisha yangu".