Hodi.

.....Lakini wote hao wanadhibitiwa na mtu anaitwa Paw, usiingie katika anga zake utajuta hahahaaah!!
Haaha, mkuu usimtishe mgeni.
Uwapo jukwaani usiogope yeyote wala lolote ila ogopa kuvunja kanuni na sheria za JF
 
Karibu mgeni, una bahati sana. Leo umepokewa na Mkuu Paw. Haa ha ha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom