Jaman mimi ni mgeni, nimefurahi kuwa mmoja wa familia yenu
Naombeni mnipokeee
asanteni
yaani ndo wamepokelewa na wewe? lol!Karibuni sana missme na Tuishi, mie naitwa saudari.
Ni kidume cha Mbegu katika familia yetu, ni mkarimu sana, mpenda watu, nisiye na makuu, mstaarabu, mcheshi.
Ila ningependa kuwajua na ninyi kwa ufupi ikiwa kila mmoja atataja wasifu wake japo kwakifupi kama hamtojali.
BTW karibuni Jf katika kulisongesha gurudumu hili.
Mimi ni binti mrembo, mcheshi, mpenda watu na mstaarabu pia sina makuu mtoto wa watu natumai wasifu wangu umejitosheleza eeh?
yaani ndo wamepokelewa na wewe? lol!
wamekwisha, ha haaaa
ha haaaa, majaaaangaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............Ooooh!!! Jamani kweli milima haikutani ila binadamu hukutana. I can't believe my eyes kama leo ningeweza hata kuchat na binti mrembo kama wewe.
Mie sijaoa mpendwa(i meen niko single) ila natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke wangu, vipi kuhusu wewe na nini mipango yako ya baada?
ha haaaa, majaaaangaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............
Haya kaka changamka naona karibu utafanikiwa mi nipo kwa huku nawacheck tu.Taratibu na vijimisemo vyako, ukinipeperushia njiwa wangu utacover nafasi yake.
eeeeeeeeeeeeh,
Haya kaka changamka naona karibu utafanikiwa mi nipo kwa huku nawacheck tu.
ha haaaa, sema mdogo wangu.....Taratibu na vijimisemo vyako, ukinipeperushia njiwa wangu utacover nafasi yake.
Karibuni sana missme na Tuishi, mie naitwa saudari.